GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025.

Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228 dhidi ya 37 alizozipata Nondo ambaye ni mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya chama hicho. Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 269 kati ya hizo, nne ziliharibika.

Kwa matokeo hayo, Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo hilo, anasubiri kupendekezwa kamati kuu ya chama hicho, ili kuchukua fomu za uteuzi zitakazoanza kutolewa kesho Alhamisi Agosti 14,2025 na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

Leo Jumatano Agosti 13, 2025 Mwananchi Digital lilimtafuta Katibu wa Idara ya Oganaizesheni wa ACT Wazalendo, Shaweji Mketo aliyesema kwa sasa yupo 'busy' kusimamia chaguzi zingine zinazoendelea katika majimbo mbalimbali.

"Naomba nikupigie baadaye nitakupa matokeo yote, bado tunaendelea kuyachakata hapa," amesema Mketo ambaye pia ni mtiania wa ubunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa Ado, majimbo ya Kivule, Chamazi, Kinondoni jana yalitarajiwa mchakato wa kura za maoni ili kuwapata watiania watakaopitishwa katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho kitakachoketi siku chache zijazo.
 
😁😁😁
 
Alafu tukumbuke kuwa Simon sirro ndiyo mtangazaji wa matokeo ya ubunge Kwa mkoa wa kigoma
Hapana! Yeye ni kada wa ccm, RC wa Kigoma (yaani ni mwakilishi wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm Taifa! kwa Mkoa wa Kigoma), na pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa.

Matokeo ya uchaguzi yanatangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri/Mji; na ambaye pia ni kada wa ccm! Ameteuliwa na Rais aliyetokana na ccm (ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm Taifa! Na ndiye anayemlipa posho na pia ndiye anayemjazia mafuta kwenye gari la kifahari alilompa), nk.
 
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025.

Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228 dhidi ya 37 alizozipata Nondo ambaye ni mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya chama hicho. Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 269 kati ya hizo, nne ziliharibika.

Kwa matokeo hayo, Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo hilo, anasubiri kupendekezwa kamati kuu ya chama hicho, ili kuchukua fomu za uteuzi zitakazoanza kutolewa kesho Alhamisi Agosti 14,2025 na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

Leo Jumatano Agosti 13, 2025 Mwananchi Digital lilimtafuta Katibu wa Idara ya Oganaizesheni wa ACT Wazalendo, Shaweji Mketo aliyesema kwa sasa yupo 'busy' kusimamia chaguzi zingine zinazoendelea katika majimbo mbalimbali.

"Naomba nikupigie baadaye nitakupa matokeo yote, bado tunaendelea kuyachakata hapa," amesema Mketo ambaye pia ni mtiania wa ubunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa Ado, majimbo ya Kivule, Chamazi, Kinondoni jana yalitarajiwa mchakato wa kura za maoni ili kuwapata watiania watakaopitishwa katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho kitakachoketi siku chache zijazo.
Chama cha Kigoma Mjini
 
Hiv huu ni ushindi wa kushangilia kwa zito.Yaani inatengeneza headline Zitto kumshinda Nondo.

Ni sawa na Kushangilia ushindi wa ccm zidi ya ......
 
Supreme leader ayatollah ruyangwa kabwe
 
Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228 dhidi ya 37 alizozipata Nondo ambaye ni mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya chama hicho. Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 269 kati ya hizo, nne ziliharibika.
Abdul Nondo tafuta jimbo lingine hamia hata Kigoma Vijijini, bado hujachelewa.
 
Back
Top Bottom