Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Does that answer my question? Kwa nini naye asiseme kwamba aliukopi mahali badala ya kuukana.
 
Mkuu FaizaFoxy, haya ni maneno ya kejeli!! Ninakuhakikishia hayatoko moyoni!!! Siasa ni kuchokoza na watu wakiitupa katika net basi ndiyo utaujua ukweli!!! Si rahisi Mh. Mbowe awe amedhamiria hayo uliyo quote hapo juu.
Hayo maneno ni ya kweli ila kuna walamba "buti" wake wanajifanya hawayaoni waseme wafukuzwe kwenye chama!
 
Tulizana wewe subiri kwenda segerea Zitto hawewezi kutaka huruma kutoka kwako, teh teh teh kumekucha.

Mkuu Ritz, Alberto alipoingia choo cha kike humu kwa kuwa wakili mjinga wa katiba ya CHADEMA, mambulula wa Maccm mlimshangilia sana. Mwanasheria wetu asiyebahatisha Tudu Lisu alipo toa ufafanuzi, Alberto mpaka sasa huko aliko samadi inamgonga kwenye chupi.
 
Mkuu the Big Show, ninaishi Tz nyumbani kwangu. Hapa JF ni kijiwe tu siku nikiwa na muda. Kuna wakati hata miezi miwili inakatika sikanyagi huku mkuu wangu. Basi kama walishamkana basi kuna jambo. Je huyo dada anayewasiliana naye hakumtetea?? Si unajua tena wazee wetu, pengine kulikuwa na mtelezo kwa hiyo ukubwani ndipo watoto wanajitokeza!!!! Ndiyo maana tunasema weka wazi mambo yako hata chagua ndugu mmoja mweleze walipo vifaranga wako wote wa ndani na nje??? Basi tufanye DNA ndiyo mwisho wa matatizo!!! Pengine Yericko ana haki ya kuwa mwanafamilia.
 


She is a lady,

And i have just told her that "I DON WRESTLE WITH BIACH BIACH BIACH..."

She has to slow down biach because she's speedin...
 
CCM yatosha hatutaki wahuni kuichezea nchi yetu.

Kuhusu issue ya uhuni muulize Kapuya au yule aliyesema hajiu kwa nini nchi hii ni maskini. Ni wahuni wa kutupwa na ndo wanongoza serikali!
 
Mkuu unabisha tu au una ushahidi nikikuletea ushahidi wa familia ya Nyerere walivyolalamika utasemaje.
Mkuu kama una ushahidi poa tu, hata mkuu the Big Show amesema kuna ndugu walishalalamika hapa. Kifupi sasa tufanye DNA ili tuthibitishe!!!! Si unajua hata IGP Mahita alikana photocopy?? Alipoambiwa mambo ya DNA akawa anachenga!!! Sijui alifanya au ndiyo alikula kona.
 

THE BIG SHOW
I told you never in that cheap direction. YOU ARE BETTER THAN THIS KAKA.
 


Mkuu,

Let us put this to the shortest term...


YERICKO YONANES MSAMBILA NI TAPELI,NA JINA LAKE SIYO YERICKO NYERERE..

APIGWE VITA NJE NA NDA YA JF ILI IWE FUNZO KWA VIJANA WENGINE SAMPULI YAKE
 
She is a lady,

And i have just told her that "I DON WRESTLE WITH BIACH BIACH BIACH..."

She has to slow down biach because she's speedin...
usininifuate pm we kiumbe! KAMA UNA LOLOTE LA KUONGEA ONGEA HAPA! MWENYE KUJUA JINSI YA KU-BLOCK WATU PM ANIELEKEZA ASAP! jiheshimu!

kama ni majibizano, tujibizane hapa, achana na pm!
 

naskia hata mbowe kazaa nje ya ndoa!
 
Mfa maji hakosi kutapatapa, zitto by by... magazeti yajiandae kuandika tena kwamba...Chadema yapasuka..chadema hoi....chadema ilishakufa siku nyingi na ikafufuka....

Timua Zitto.

Upi sahihi Kamanda kuwa huyu Ndumilakuwili Zitto atimuliwe! Lakini kwa Sperling za neno kwa heri kwa kidhungu,umekosea.
Siku nyingine andika hivi,"bye"bye".
 
Duh!!! Wewe ni ME au KE? Umekulia mitaa gani? Una elimu gani? Umekulia kwa wazazi wawili au single parent (mama)?, ni kweli umeoa? Mke kabisa kama unavyosema? Najaribu kujiuliza tu!! Kama yote maswali jibu lake ni YES basi we mkali mazee!!!!!! Uko njema! Ndiyo maana wanaume siku hizi tunaishia kupiga risasi wananwake maana kwa majibizano yako unaonekana una kidomodomo sana kam binti wa kizaramo!!!
 
Mkuu usiwe na haraka ndiyo kesi imeanza hii chein ni ndefu vuta subra.

Lakini mkuu ule waraka si waliukubali?? Si Kutila mwenyewe alihariri??? Sasa iweje tena mmoja wa watuhumiwa anaenda kumshataki msambazaji tuuu?? Au hapa ni waraka mwingine wanazungumzia?? Pengine sikupita huku waraka huyo ukiwepo. Cha msingi huyu Saliti angekaa kimya, atafakari mambo. Hakuna sababu ya kukurupuka maana hapo tena ana kesi nyingine anatakiwa afungue ajitete ubunge wake kama itatokea akifukuzwa uanachama. Ila uzuri serikali yenu haitachukua hatua kama ilivyokuwa tu kwa Kafulila, na Hamad Rashid!!! Delay tactic hadi muda wa ubunge umalizike!!! Aise nyie achene propaganda mkuu.. Kwa nini mnaogopa sana upinzani??? jirekebisheni mambo mengi sana maana watanzania wamepoteza sana matumaini na nyie.
 

Mkuu Leo Mimi nasoma hoja za Watu na kufurahi tu!
Kuna mtu anaitwa Big Show ni noma Anatoa maneno huyo?
 
Mkuu kwa hiyo wewe unaamini Yericko ni mtoto wa Julius Nyerere?
 
Poa mkuu, mimi siyo mtaalam wa masuala ya dini, ila ninafikiri watanzania wanakipenda CDM ni wa aina zote. Matukio ya miezi michache iliyopita hata mwaka jana kuhusu imani za dini na matendo inalazimisha kila mtu awe na hofu sana na uislam!!! Sorry to say this, hawa watu ni hatari sana kama ambavyo hata prezzo mwenyewe ni hatari!!! ameamua kujitoa mhanga kwa tuhuma za uongo na sasa anatapatapa anataka aondoke na watu!!! Sasa tusubiri the end of the show!!
 
Zitto ang'oke,tumemchoka.hana faida kwa sasa,mbinu zake zimebainika.chadema hutaiweza Zitto
 
Laana ya kumwagia watu tindikali inamtafuna Kileo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…