Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Kilewo na yericko lazima muwe tayari kubeba gharama za kumchafua zitto.
 


Nikisema mimi nitaonekana muongo,

Huyu Yericko ni tapeli,nashangaa kwa nin baadhi ya viongoz wa chadema wanamkumbatia kumbatia,,

Watoto wa mzee nyerere tunao humu jukwaani na walishatokea na kumkana,
Andrew Nyerere alishamkana na kusema hamfaham hata kidogo,na ni tapeli,

Kisha akaja mwenyewe yericko baada ya sisi kumdhalilisha kwa utapeli wake akaomba radhi lakin bado hakomi kulitumia jaina hilo hadi MODS WAKALIFUTA KUWA VERIFIED NAME,


Naomba Ritz au MwanaDiwani mnibandikie lile bandiko alilokuwa anasema kwamba yeye nyerere ni baba yake mzazi huku anamkana baba yake mzazi halisi ili huyu ndugu yangu ajionee uhalisia wa utapeli wa yericko mpiga RIPU...
 
Last edited by a moderator:
Haha ha ha haaaaa ! ! ! Only if wishes were horses....

Ben Saanane kafanya nini tena?
Mkuu jibu tuhuma,you have been quoted amoung of the people who were receiving m-pesa from ZZK,kwenye siri ya zito film
Say something please.....
 
yaani wanawake wanazidi kuongezeka ccm, hatimaye wakina mchange, mwigulu and co watamkaribisha rasmi huyu msaliti! shame on u Zitto! puuuuuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa ZZK aliamua kuongea na waandishi wa habari, na kwakuwa aliongea pia kuhusu waraka husika, basi alipaswa kabla ya kwenda mahakamani kutoa ufafanuzi juu ya waraka ule bila kujali kuwa umesambaswa na CDM au! hoja hisingekuwa kwa kuwa CDM wameukana waraka basi nitafungua mashitaka kwa watu fulani waliohusika kuusambaza bali hoja ingekuwa kuainisha ukweli au uongo wa kilicho ndani ya waraka husika. Bola shaka angekusia uhusiano wake na Mr Zoka, Uhusiano wake na Viongozi waandamizi CCM. Utumwaji wa pesa kwa watu waliotajwa including Ben Sanane, Ufanywaji wa vikao vya siri na viongozi wa CCM kama waraka ulivyoainisha.

USHAURI: Hata kama Zitto ni maarufu kiasi gani ni heri CDM wamfukuze, kama ni kutikisika watikisike kwa muda alafu watasimama kuliko kuendelea kumkumbatia akaendendelea kuwaharibia daima dumu.
 
Who is Yericko by the way??watu wanalitumia jina la mwalimu vibaya sana

Familia ya mwalimu hawajalalamika!!! Tunao hapa JF!!! Sasa wewe ni nani unayelalamika!!!! Mambo ya familia ya Baba wa Taifa ni ya familia yao tu period!!! Mlianza kumpinga yule mbunge, hadi wanafamilia ya Nyerere walipowatolea tamko mkaaibika!!!!
 
Hii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,

Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
Bado wewe siku zako zina hesabika anza kukabidhi cement,tindo na vitasa kamanda
 
Mkuu jibu tuhuma,you have been quoted amoung of the people who were receiving m-pesa from ZZK,kwenye siri ya zito film
Say something please.....


Hao njaa zinawasumbua,

Hakuna utumwa m'baya sana kama huo wa kuchumia tumbo,wameshafahamika,

Ni watu wa kuwapuuza na kuwadharau na njaa zao
 
Kilewo na yericko lazima muwe tayari kubeba gharama za kumchafua zitto.

Mkuu Chamviga Zitto ni mchafu siku nyingi sana hata kwa maji taka hatasafishika!!! That is maji taka ni masafi kuliko Zitto!!! Si mlitegemea angepata public sympathy!!!!!??? Watanzania wangeandamana!!!! Hakuna kitu kama hiki kwa kuwa alishajulikana!!!! Watanzania makini walifurahi sana!!! Kwenye vijiwe vya kahawa na bar ilikuwa ni cheers tu mkuu!!! Bravo CDM!!
 
kaka ni asubuhi najua hata chai haijashuka, mbona kushushia na juice ya omo, huogopi ukifafa wa kujitakia?? Hebu punguza povu basi! Haikusaidii hiyo.

Pigia makelele issue za mgao wa umeme, denti kubakwa na kapuya at least ungeeleweka! Behave plz!
 

Mkuu Pigangoma, Maccm yamemwingiza Zito kwenye chaka la siafu na kuacha anga'twe. hakna haja ya Ben kuthibitisha humu kwani Mhe. Tundu Lisu atamwita kutoa shaidi wake mahakamani na mtandao wa Vodacom utathibitisha pasi kuacha shaka.
 

Huyu anaitwa Yericko yohana sijui nani vile? Ni mhaya huyu jamaa kwahiyo mpunguzie mapigo anaweza kujitia kitanzi.
Cc gombesugu. Muovu na mnafiki ana mwisho mbaya ndugu yangu kwahiyo ngoja wafurahie umaarufu wa jf' kwa kuwatuhumu wengine lakini yana mwisho.
 
Last edited by a moderator:
unauvua utu wako sababu ya pesa! shame on Zitto! afe na yeye akaungane na balali, maana ccm wakishakutumia wanakuflush asap! puuuuuuuuuuuu!
 
Familia ya mwalimu hawajalalamika!!! Tunao hapa JF!!! Sasa wewe ni nani unayelalamika!!!! Mambo ya familia ya Baba wa Taifa ni ya familia yao tu period!!! Mlianza kumpinga yule mbunge, hadi wanafamilia ya Nyerere walipowatolea tamko mkaaibika!!!!



Hivi we unaish wapi??

Humu humu Jf au wapi??

Familia ya mwalimu kupitia kwa kijana wake Andrew Nyerere walishakuja kulalamika na kusema hawamfaham huyu jamaa humu ndan,


Jamaa kama hiyo haitoshi akaanza kusema kwamba yeye kule butiama ana fahamika,na kwamba yule binti wa nyerere mbunge anafanya nae mawasiliano,na anawakaribsha anaokoish huko kwake sijui mbutu sijui,

Huyo mtu ni tapeli,huyo na mwenzake saa nane ni matapeli,tunawaasa mukae nao mbali sana,hawafai hata kidogo hao njaa kali
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kihisi kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????
 
Msaliti sasa anatumia mbinu nyingine kuendeleza usaliti, lakn mungu yupo na atashindwa.
 
Hao njaa zinawasumbua,

Hakuna utumwa m'baya sana kama huo wa kuchumia tumbo,wameshafahamika,

Ni watu wa kuwapuuza na kuwadharau na njaa zao
Kuliko ile uliyokuwa nayo wewe wakati unajifanya kutetea gesi haitoki umepata mlungula huonekani kulizungumzia tena suala hilo umeishia kutafuta cheap popularity kwenye suala la zitto ili upate tena kula kama ilivyokuwa kwenye gesi
 
"Kwa kweli sijui hata mimi ni waraka gani, ingawa hivi karibuni kulikuwa na waraka wa siri uliodaiwa kutoka CHADEMA, na ambao ulijaa tuhuma za usaliti. Lakini huo tuliishaukana siku nyingi. Labda kuna mwingine," alisema Kileo.

-Tanzania daima.

Kamanda Henry Kilewo mbona unakuwa muoga, wakati makamanda mnasema dhambi mbaya ni uoga? si ndio wewe ulikuwa ukituaminisha hapa kuwa ule waraka ni wa kweli na ukafika mbali mpaka ukauweka kwenye blog yako? leo huujui tena ni waraka gani? Hili ni Janga jingine tena, Kesi ya kummwagia tindikali TESHA haijaisha ushachuma lingine, Joyce Kiria angalia sana hii mutu, itakuacha uraiani!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…