Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Naona yule jamaa mwenye tuhuma ya kubaka kadenti sasa hivi anapumua!
 
Mods mnaweza kumjibu huyo kijana?

cc Invisible


Invisible hana muda mchafu wa kudeal na tapeli,

Sisi tulikuambia huu utapeli wako fanya huko huko mbutu,hili jukwaa ni la GT,

Umeona ulivyodhalilika sasa??

Leo hii kila mtu humu ndan anakujua kuwa wewe ni kikaragosi tuh usie na mbele wala nyuma,ila umejitakia tuh,

YAN UNA LAANA WEWE??WEWE BABA YAKO MZAZI MZEE MSAMBILA UNAE,KISHA UNA MKANA NA KUSEMA MWALIMU NYERERE NI BABA YAKO MZAZI TENA??

HIVI HII YOTE YA NINI??KUMKANA MZAZI WAKO KISA NINI??UMAARUFU AU UTAPELI??TUMEKOMESHA TABIA ILE NA TUNAKUPA ONYO USIRUDIE TENA,TAPELI MKUBWA WEWE,

LIONE KWANZA...!!!BABA YAKO NI BABA YAKO,HATA KAMA ANA MAISHA MAGUMU NI BABA YAKO TUH,MUST BE SO SO CRAIZY,UNA MKANA VIPI MZAZI WAKO??STUPID KABISA...
 
Namshauri Zitto aachane na hizi kesi zisizo na kichwa wala miguu. Ana kesi nyingine kubwa kufungua siku chache zijazo, kutetea ubunge wake...
 
Muwe Hata na akili kidogo hata Haujajua kuna tatizo mmeshaanza kupasuka
 

Haya ndiyo ya mfa majii siku zote hutapatapa!!! Anatafuta wa kufa naye??? Zitti acha ujinga!!!Wewe ni haini, ni saliti period!!!! Asilimia kubwa ya watanzania wapenda mabadiliko na maendeleo hawakutaki!!! Unatafuta public sympathy Zitto!!! Nenda CCM, katulie huko, waambie kimenuka!!! CDM hutakiwi, unalazimisha tu kubaki huko!!! Saliti mkubwa sana wewe!!! Tuliomba sana Mungu siku nyingi aweze kudhihirisha unafiki wako, yametimia, meza kaa la moto na wembe wa makali na tulia!!
 
Ukimuona Yericko mwenyewe live anakupiga 'mizinga' hutoamini macho yako! Hajai hata kwenye kucha!

Mimi pia nimeshawahi kumshuhudia kwa macho yangu yericko,sema yeye hakunijua,

Nilikua natoka posta CRDB BANK pale azikiwe naelekea zangu home TABATA,kachoka sana huyo jamaa,na maisha yamempiga kweli kweli,

Nilimuhurumia sana,nikajua kumbe JF inawaongea watu sana,yan nilitaman hata nimpige picha ili wenzangu nao waje wajionee,vijana wajifunze kuish kwa malengo,maisha ya utapeli na kutumiwa na wanasiasa hayatasaidia kwa wao kutimiza ndoto zao,
 
Sasa kama ndio hivo nayeye sini mshikiwa katika kuandaaa? Nadhani kilewo ashitakiwe kwa kuweka waraka public ila kama ni kuuandaa basi zitto nae akamatwe na wenzake aache viroja.


Lakini tangu awali alisema atawaburuza mahakamani wote waliohusika kuandaa na kusambaza ule waraka. Nadhani move ndo imesha anza hivyo.
 
Hizi sasa sarakasi. Hivi yule aliyeuweka waraka ule kwenye blog yake siye huyu? Mbona mnacheza na akili za wananchi!

blog ngapi ziliweka ule walaka mkuu? kwanini asiwashitaki wote sasa hakuna jipya ni anahangaika tu huyo zitto, blog sikuiz zinacopy n paste eti zitto ndio anajiona msomi na anauelewa sasa sijui atambana vipi kuwa kilewo ndie msambazaj na ninauhakika kwa tulipofikia ndio tutaujua ukwel wa akil ya zitto kama nae sio kichwa maji, akili ya mtu hupimwa kwenye matatzo sio kwenye raha na mbaya zaid hadi wakili wakina zitto nae shida tupu.
 

Ha ha ha!!!! The Big Show!!!! Leta evidence ya maandhishi kuwa Yericho Nyerere alimkana baba yake!!! Tutakuamini kupitia key board tu? Off course tunajua upande unaoegemea kisiasa ila usipende ku-attack watu bila evidence!!! Wewe ni nani ulalamike wakati watoto wa baba wa Taifa hawajalalamika??? Mfupa usiokuhusu unaudandia wa nini??? Pole sana.
 
mi sisemi kitu mpaka ajibu tuhuma za kugawa fedha kwa akina Gwakisa,Mwampamba ,saanane na nyie wote mpo humu tunajua hebu fungukeni tupate cha kuwahoji, huyo zzk ni nani yenu ....... mpaka awape hzo fedha...
 
Ukirejea waraka wa nyuma wa CHADEMA KUJITEKA NA KUMMWAGIA TINDIKALI KUBENEA, utagundua kwamba mtu kama ZITTO KABWE hakutakiwa kabisa kuwa CHADEMA. aina ya watu walioko katika chama hicho sio wa aina yake. Zitto ni mtu mwenye akili kubwa (kama alivyosema nchemba). Nadhani sasa anatakiwa atafute mwelekeo mpya ikibidi kujitoa kwenye siasa kwani anaweza kuisaidia nchi hii hata akiwa nje ya siasa au kuingia kwa wenzake wenye akili kubwa. Hawa wenye chama hicho watamsumbua sana.
 

mkui walaka unaoongelewa hapa ni ule wa kwanza kabla ya huu wa juz wa makao makuu ambao hata makao makuu ya cdm walisema hawaujui na hawajasambaza wao pia hata hapa jf uliwekwa mara kadhaa ukawa unatolewa ila wewe nadhan unazungumzia huu uliotelewa juz na makao makuu.
 
...acha utoto na wewe...hzio cc za nini...ongea kwa kujiamini....
 
Namshauri Zitto aachane na hizi kesi zisizo na kichwa wala miguu. Ana kesi nyingine kubwa kufungua siku chache zijazo, kutetea ubunge wake...
Tuko tuko pamoja. Mwenzio tayari nimeanza kumuita Mh. Zitto Zuberi Kabwe, kwa cheo cha Mbunge wa Kigoma Kaskazini anayemalizia muhula wake kupitia Mahakama
 
Last edited by a moderator:

Who is Yericko by the way??watu wanalitumia jina la mwalimu vibaya sana
 
Henry Kilewo vipi tena kamanda unaukana waraka wako au umeona hali mbaya.

Mkuu Ritz, huo waraka watu wali copy and paste, wengine walirusha hata katika blog zao!!! sasa iweje umshtaki mtu aliyejisevia tu kama wengine!!! Basi aje anishtaki na mimi maana niliusambaza sana kwa njia zote nilizoweza, facebook, emeils, blogs, etc!!! Mfa maji haachi kutapatapa. Kwenye server langu pia waraka umo, kama rejea ya miaka kadhaa kwangu na kizazi, mambo ya historia hayo!!! Yeye ZZK ajipange tu kuja kwenu maana kule hatakiwi kabisa!!! Unajua ukishang'atwa na nyoka hata ukiona jani unashtuka!!!! CDM haiwezi kuwa shwari kama wataendelea kumhifadhi hiki kidudu mtu wenu. Chukueni hiki kirusi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…