Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
wacha kumdhalilisha mzee mandela kumfaninisha waganga njaa.

mke wa kilewo alisema kilewo amemzidi nyerere(baba ake yericko) kisa aliwekwa lupango. Chadema tunadhalilishwa sana na watu kama kina kilewo na wake zao
 

Yaani! Mimi hili la Ben Saanane limeniacha na simanzi nashindwa kuamini kama anaweza ku team up na mtu anayedaiwa alitaka kumuua kwa sumu akitumiwa na km cdm!!
 
Wacha kumdhalilisha Mzee Mandela kumfaninisha waganga njaa.

kuna mganga njaa kama Zitto? anajifanya mzalendo anatetea maslahi ya nchi lakini anakula na kulala CCM. anatetea maslahi ya nchi huku ni kibaraka wa chama kinachotetea sera za kuua tembo.
 
Naona ZZK anachanganya mambo zaidi.

Aondolewe kwenye chama tu labda ataenda CCM
 
chadema wataisoma namba,

mm chadema ikifa siwezi kulia nitaitupa mto kagera.

wabaguzi, wadini na wafitini mungu akiaangamizilie mbali chama cha wavuta bangi na malaya kama malay slaa na mbowe.

kazi kuchukua wake za watu na kuzaa nje ya ndoa zao

Hata kama unatoka pwani kwa mukuru, lakini punguza personal attacks kama hizi manake hapa tunajadili matukio sio watu.
Ni ushauri tu mkuu
 
Kilewo tupo pamoja na wewe kama ni hvyo mbona juzi hakukutaja mbele ya media?,ukweli hauwezi kufunikwa na neti ataumbuka tu
 
Mfamaji.........................................................
 
Kumbe aliyosema Ben saanane yalikuwa ya ukweli kwa sababu Zitto ameenda kushtaki kuwa hayo ya Kileo ni Uzushi dhidi yake!
 

"Let every nation know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe to assure the survival and the success of liberty".
John F. Kennedy
 
Bi. Mkubwa punguza hoja za maji-taka. asa hapo ndiyo umeandika nini?! em soma na utafakari ulichoandika.

Kama nawe unavaa gwanda jisikilizie uone zinavyotoa hususan sasa, si unajuwa kimenuka!
 
Kuna Dada /mama mmoja ni mjane au mtarikiwa humu, manake hoja zake anazotoa inaoneka ana stresses!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…