Zitto akataa posho ya mil. 238

Fisadi ni Mbowe,Lissu na Mnyika wanaokaa pa1 na magamba ili kujadili jinsi yakuongezewa posho nono! Wametulia tuliii wanaisubiri posho kwa uchu wa hali ya juu!
kwa maoni yangu zitto hapaswi kuchukua hata senti tano kwa malipo ya wabunge. mbona alishajiuzulu ubunge? anachukua kwa msingi gani? huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine
 
​Ningeshauri Bunge, Mbunge anayetaka kusaidia kitu fulani kwenye jamii aseme tu atasaidia amount gani halafu wamkate huko huko mana Propaganda zimezidi sasa
 
Reactions: Pai

Maneno na Matendo tofauti.
 
unaandika vitu ambavyo huvijui zitto alifukuzwa lini chadema, tangu tamko la kusema kajifuta uanachama bado alikuwa anahudhuria vikao vya bunge je alikuwa nahudhuria kwa misingi ipi?. barua ya kufukuzwa alipewa lini acha porojo mkuu
 
haa haa hivi mwalimu akijiuzulu uwalimu naye hulipwa?
Ni vyema ukajisomee tofauti ya mtu aliejiuzuru na kufukuzwa je? wana wana lipwa sawa. maana umeshindwa hoja unakuja na maswali ya kitoto
 
kumbe ukijiuzulu ni halaliyako kulipwa? tuwekee sheria inayoruhusu hilo hapa mkuu.
lowasa kajiuzuru bado analipwa 80% ya mashahara wa waziri mkuu huu ni uthibitisho tosha kuwa ukijiuzuru bado una stahili kulipwa sheria katafute inayohusu marupurupu ya viongozi wetu.
 

Ni mnafiki hana lolote
 
aiseee....🏃🏃🏃🏃🏃
 

Hata hivyo hana sifa kwani nae nastaili mafao hayo? na kama anataka kuchukua pesa hizo kwanini asiende kwasaidia ndg zake wa kigoma kuna uzi wa mwezi uliopita ukisema wanakufa kwa kipindupindu.
 
Haha huyo ni mwanasiasa, anajua A-Z. Hata akichukua hawatangaz. Na ninavyowajua ccm akiziacha wanazifyeka alafu kes mahakaman 10 years
 
Zitto, anasema atachukua zile anazostahili kwa mujibu wa sheria , sasa yeye ambazo hastahili ni ngapi? Vipi kuhusu posho ya kukaa ambayoalisema aliacha kuchukua , mbona aliendelea kuchukua ?
hivi unaelewa hata unachopost? Zitto alisema posho za kukaa bungeni hachukui na hakuchukua mpaka alipoondoka bungeni. hivi wewe unafikiri Zitto ni yule mhamasishaji wa chama aitwae dj mbowe aliyerudisha gari la kub kwa mbwembwe halafu akalirudia kulichukua kimya kimya? na huo ni utaahira kweli kweli.
 
Ni vyema ukajisomee tofauti ya mtu aliejiuzuru na kufukuzwa je? wana wana lipwa sawa. maana umeshindwa hoja unakuja na maswali ya kitoto

Zito alifukuzwa kwa mujibu Wa katiba ya CDM
 
lowasa kajiuzuru bado analipwa 80% ya mashahara wa waziri mkuu huu ni uthibitisho tosha kuwa ukijiuzuru bado una stahili kulipwa sheria katafute inayohusu marupurupu ya viongozi wetu.

Lowasa analipwa isivyo halali na huo nao ni ufisadi.Kwani alistaafu lini
 
Zitto anakataa posho kwa mkono wake wa kulia na kupokea fedha za escrow kwa mkono wake wa kushoto.

izo sasa chuki binafci..akipokea et ooh mbona nae kachkua, akithubutu ukomavu na uzalendo wake kwa nchi bado mnafiki..jaman atuwez fka kwa akili iz za kutumwa ongezeni na zenu bac wandugu
 
Kalaga baho!!!! hivi ni lini mtaendelea kudanganywa?????? kweli watanzania wengi ni kichwa cha MWENDAWAZIMU.Kila mtu anajifunzia kunyoa.
Ila zinga saidia kujenga ACT. Lakini ni sahihi kuwaachia wanyonge kama zitawafikia ( na huu ndio uzalendo wa kweli )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…