Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Kina Mbowe, Lema, Mnyika, kuchukuwa milioni 230 kila mmoja na kukaa kimya siyo wanafiki?
Si kila anayefanya mambo ya muhimu katika jamii kama kutoa misaada anaita media ili apate coverage ya kumpatia max za wananchi, ukifuatilia habari za chinichini utakuta wengine pia wanafanya makubwa bila kujitangaza.
Nilifikiri jamaa yako hatapokea kabisa, kumbe atapokea ila anaelekeza atakachofanyia, ukimfatilia mpaka mwisho si ajabu ukakuta wala hatofanya kama alivyotangaza