Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

Hata kama amesema muda huu je kuna ukweli katika hayo aliyosema? Hebu sasa tuwe objective

Ben, good vision haiwi objective pale tu unapoguswa mambo yako

kama alijua haya, alikaa nayo ya nini??? ndio maana nasema kila kitu ni bad timing, tunacheza siasa za kuliana timing na kupapasana....

if you kill someone (au kutuhumiwa kuua) and katika utetezi wako ukasema my friend timing naye aliua mtu last month... does it make you a saint??

THINK ABOUT IT BUDDY!
 
Atakuja kuoga kibirizi au bangwe beach so hakuna shida kama kachafuka

Zitto go go brother
 
Ben, good vision haiwi objective pale tu unapoguswa mambo yako

kama alijua haya, alikaa nayo ya nini??? ndio maana nasema kila kitu ni bad timing, tunacheza siasa za kuliana timing na kupapasana....

if you kill someone (au kutuhumiwa kuua) and katika utetezi wako ukasema my friend timing naye aliua mtu last month... does it make you a saint??

THINK ABOUT IT BUDDY!

Nilidhani kwa uendeshaji mzuri wa mashtaka na haki ni lazima wote wachunguzwe.Huwezi kuacha allegations ambazo zimetolewa ati kwa kuwa naye ni mtuhumiwa.Hiyo unaonaje?

You should also Think about it buddy!
 
Aisee yaani mimi nabaki nacheka tu, sidhani hata kama Zitto mwenyewe anawafahamu vibaraka wake kama atakubaliana na ninyi jinsi mnavyozidi kumpotezea umaarufu.
 
Nilidhani kwa uendeshaji mzuri wa mashtaka na haki ni lazima wote wachunguzwe.Huwezi kuacha allegations ambazo zimetolewa ati kwa kuwa naye ni mtuhumiwa.Hiyo unaonaje?

You should also Think about it buddy!
yes, ila inakua ni kesi nyingine, file jingine, uchunguzi mwingine, mashahidi wanatafutwa upya na hata hakimu aweza kuwa mwingine kabisa achilia mbali mwendesha mashitaka, nyakati za kesi, upelelezi nk. na si ajabu ukawa kwenye tuhuma za kusaidia (au kuacha uhalifu unaendelea ukiwamo)
 
Katika lile pazia la kutumiwa na mafisadi wabunge wajawa na hofu ya kuhoji wizara hiyo kwa kuhofia kuwa wanatumiwa na mafisadi chanzo kimeeleza. "Naogopa bwana ukisema chochote unaambiwa unatumiwa na mafisadi vita ya urais ni kubwa"
 
nawashangaa sana watu wanaomponda Zitto wakati ni mmoja wa viongozi aliyechangia umaarufu wa CDM kwa kufichua maovu mbalimbali hii inanifanya niamini kuwa wengi wa watu wanaojifanya wazalendo humu JF hawana lolote zaidi ya chuki binafsi na majungu

Ni Demokrasia, Tunamsifia wakati akifichua hayo Mabaya na kama alikuwa kwenye Mlango Mbovu kwanini tusiongelee

Sasa kama wewe unaona ni CHUKI za BINAFSI na MAJUNGU na U AMEONA JINA LAKE kwenye list na UNAITA MAJUNGU

Na yeye kwenda kuongea na CHAMA CHAKE KWANZA halafu WAANDISHI WA HABARI Inaonyesha Hayo SIO MAJUNGU

We are destroying our country because we are deny to speak the truth the whole truth...
 
Zitto ,

Wacha umbea kijana ukizeeka utanunua uchawi. Mikataba ya Symbion na Agrekko ilifanyika mwaka jana kama sijakosea ni mwezi October. Waliruhusu huo upuuzi ni Jakaya Kikwete , Mustafa Mkulo, AG. Werema , William Ngeleja na Eng. William Mhando . Tumeshangaa sana kuona serikali inawakubalia kuingia mkataba wa hovyo ambao Huko nyuma uliifanaya serikali kuvunja Mkataba na Dowans which ended in Tanesco kudaiwa Tshs.90bn .
Walidanganyana kwamba Tanesco ingeruhusiwa kuokopa from Banks pesa za kuindesha mitambo hiyo na kwa ahadi kwamba bei ya umeme ingeongezeka kwa zile asilimia 175 % for the project to be viable. Kuondoka kwa Mhando kunasababisha hayo madudu ya team ya Ngeleja yawekwe hadharani. If you don't send him to jail it's another Kituko???

Therefore kwa mafisadi he was their last card . Ndio maana all along Zitto na Makamba Junior walikuwa wanapigania serikali itoe guarantee for the Tshs . 408Bn ilihali wakijua Tanesco haiwezi kuzilipa. Kuondoka kwa fisadi Ngeleja na kuingia Muhongo has been a blow to Ufisadi na ndio maana walimobilise a big chunk of cheap MP'S to rally for the removal of Prof Muhungo na Maswi.

These two wazalendo are out to clean the mess in the energy and minerals sector including petroleum sector and Gas . Sijawahi kuipongeza the CCM party caucas lakini this time around hao mafisadi were out kutumia Kila Senti to make sure the ouster of the duo. Sasa Zitto usilete uhuni wa Mijebuka hapa ? Budget ya energy ilipitishwa ulikuwa wapi usizungumzie ubovu wa Capacity charges za Symbion ya Hillary Clinton/ Rostam Aziz, plus Aggreko? Na Nyie wana CCM why don't you ask the dubiosity of the Transfer from Dowans to Symbion. Nchi hii watu wapuuzi especially Bungeni it's jus over 90% inachefua????
 
kumbe hata CDM kuna siasa za makundi kama CCM....... ! Mbona hivo jamani, zito kutangaza nia imekuwa nongwa ndio apigwe vita hivi, acheni hizo waungwana, jamaa ni mzuri anafaa kuwa raisi wa TANZANIA na ni msafi kuliko hata hiyo silaha inayo pigiwa debe!
 
Zitto siku hizi anaingia JF na ID nyingine kazi kweli kweli, usaliti unakutesa sana Kabwe... kwisha habari yako
 
Anasema baada ya kuzodolewa alikuwa wapi kusema siku zote mkaguzi wa mashirika kaficha siri mpaka ameumbuliwa ndio anawataarifu wananchi mwizi naye asilete upuuzi hapa

Kwani ripoti za CAG ni siri?
Manake yeye kasema aliyoyasema kutoka kwa ripoti ya CAG, issue hapa je hii ingekuwa hoja ya msingi kama ingesemwa na mtu tofauti?

Au tushazoea kuibiwa kiasi kwamba issue za kutugharimu pesa nyingi hazitushitui tena?
 
Zitto you can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time!.
CCM wanazijua mbinu za kumkaanga samaki kwa mafuta yake mwenyewe!.
Kama Zamani ulishawahi kuvuta kitu kidogo somewhere, usidhani wale waliokupa hicho hawakulii timing ya kukumaliza.
KAMA UMEKULA MLUNGULA (NOT NECESSARY THIS TIME) BASI UJUE CREDIBILITY YAKO IMESHUKA BELOW SANA, IT IS HARD TO BE TRUSTED!.

NA HAYA MATUKIO YALIYOTOKEA JUZI YAWE ONYO KWA VIJANA WANAOCHIPUA KATIKA SIASA KAMA KINA MNYIKA- HUWEZI KUWADHULUMU WATANZANIA UKABAKI SALAMA!
 
Back
Top Bottom