Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

211142_423607097685099_1520489415_n.jpg

Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV

Muheshimiwa Zito ulikuwa wapi siku zote Kusema Haya??
 
namshauri Zitto atafute njia sahihi za kujisafish na kashfa ya kula rushwa[kama hajala] hii sio njia sahihi inazidi kumchafua na kumfanya aonekane mnafiki
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg

Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV

Mfa maji huyo!! angeanza na hilo basi badala ya kushupalia utetezi wa kina Mhando na wenzie! mbona huko nyuma alikuwa anatetea dowans now renamed symbion, kazinduka lini kuona mkataba ni wa kifisadi?!
 
True picture is worse than Zitto potrays

capacity charge per month
symbion dodoma 14 billion
symbion Dar 3.7 billion
symbion Arusha 12 billion
songas 4.7 billion
IPTL 0.83 billion
Aggreko 2.0 billion
Total 37 billion
Ongeza gharama ya kununua umeme kutoka kampuni hizi
sawa na 55 billion per month.
TANESCO IS IN THE RED /HASARA TUPU (patoTanesco ni billioni 94 tu kwa mwezi)

source Guardian.
Conclusion; As good as its gets, TANESCO singing the blues.
 
Hii haitoshi nikukubali uwe raisi. Unajitihada kweli na taifa na pia ni kamanda wangu ila ukinyonga wako ndio unaonipa shida kukuamini.
 
Zito longa dogo, ukitajwa kwenye ufisadi na wewe taja. Dawa ya moto ni moto. Sasa hivi watanzania watasahau kashfa zako
 
Nafikiri tumekua tunamfikiria vibaya sana Zitto kiasi cha kwamba baya lolote linalopita mbele yake au karibu yake basi ni la kwake.

Hakuna ushahidi wa wazi kua kala rushwa,bali ni kwa vile nae alitaka Mhando asifukuzwe kwanza.

Ukiishia hapo juu nilipoishia, utamuona anamtetea Mhando, but jiulize why Mhando asifukuzwe kwanza?? Jibu ni kua, mhando angeweza kusaidia taarifa muhimu nyingine nyingi tu za ufisadi kabla ya kufukuzwa kuliko alivyo sasa.

Ni rahisi kwa wale aliokula nao kumpoza ili asiwataje sasa, kuliko wakati yuko madarakani. Ndo kusema kua kwa sasa tutapata shida kujua taarifa nyingi muhimu kuliko kama angeachwa kwanza akachunguzwa. Kwakua jamii imeshamuona Mhando kama fisadi, basi hata wenzake ambao hatuwajui itakua rahisi kujificha nyuma ya mhando wakimpa chochote.

Kamati ya POAC ilitaka imhoji kwanza Mhando kwa namna ambayo yenyewe ingeona inafaa, ndipo aeunguliwe.

Zitto ana mapungufu yake, but Jf-Members kama Great Thinkers tusiwe tunajadili mambo kama wale wasiopo humu. Otherwise tutaonekana either "Tumevamiwa" au "Tunatumiwa", or even both.

Kwenye Blue...Umeyatoa wapi haya?? Zito amekuambia?? unaijua hoja ya Zito kuhusu kusimamishwa mhando?? Pia unadai kuwa Mhando kafukuzwa...are you sure?? au ni mhando yupi unayemzungumzia??

Kwenye RED... unachekesha kweli ...haya madai umeyatoa wapi?? wewe ni mwenyekiti au Katibu wa hiyo Kamati?? ni Jukumu la POAC kuzuia utendaji kazi wa Wizara??

Kwenye Green ni wazi kwa hoja yako ndicho unachokifanya sasa.
 
alikua wapi siku zote kuya sema hayo...anaona maji shingoni.....mwambie kumekucha na jua limeisha waka...sasa shuka yanini mchana wote huu.

Hakuna mwenye jibu la hili swali utapoteza muda bure....Sijui kama ana mshauri makini haswa kwenye kipengele cha TIMING.....
 
Hizi figure (152mil/siku) mbona zipo siku nyingi tangu enzi ya Richmond!
Richmond--Dowans--Symbion-----Mirathi.
 
Hata kama amesema muda huu je kuna ukweli katika hayo aliyosema? Hebu sasa tuwe objective
 
And still this guy still dreams to become the president of this great country! ama kweli Zitto ni Janga la kitaifa!!!!!!!
 
Tatizo la huyu Zitto ni kwamba he is so full of himself and wrongly thinks that he is the most intelligent, know it all guy in the house, kinachotafsriwa kimakosa na wapenzi wa Zitto kuwa intelligence, ni ukweli kwamba huyu bwana mdogo amejaaliwa katika suala zima la kuwa cynically argumentative!
 
Kila jambo lina wakati wake wa kutokea au kusemwa...japo litakawia lingojee halitakawia,lingojee halina budi kutokea/kusemwa.
wasalimuni wote huko niko likizo ila siji kwanza.
 
Sawa,lakin kwann ZZK amekuwa ndo tatizo inamaana hilo la rushwa alilosema hakina mashiko au ni kwasababu kalisema kipindi yupo kwenye kashfa?
 
Back
Top Bottom