Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

Nafikiri tumekua tunamfikiria vibaya sana Zitto kiasi cha kwamba baya lolote linalopita mbele yake au karibu yake basi ni la kwake.

Hakuna ushahidi wa wazi kua kala rushwa,bali ni kwa vile nae alitaka Mhando asifukuzwe kwanza.

Ukiishia hapo juu nilipoishia, utamuona anamtetea Mhando, but jiulize why Mhando asifukuzwe kwanza?? Jibu ni kua, mhando angeweza kusaidia taarifa muhimu nyingine nyingi tu za ufisadi kabla ya kufukuzwa kuliko alivyo sasa.

Ni rahisi kwa wale aliokula nao kumpoza ili asiwataje sasa, kuliko wakati yuko madarakani. Ndo kusema kua kwa sasa tutapata shida kujua taarifa nyingi muhimu kuliko kama angeachwa kwanza akachunguzwa. Kwakua jamii imeshamuona Mhando kama fisadi, basi hata wenzake ambao hatuwajui itakua rahisi kujificha nyuma ya mhando wakimpa chochote.

Kamati ya POAC ilitaka imhoji kwanza Mhando kwa namna ambayo yenyewe ingeona inafaa, ndipo aeunguliwe.

Zitto ana mapungufu yake, but Jf-Members kama Great Thinkers tusiwe tunajadili mambo kama wale wasiopo humu. Otherwise tutaonekana either "Tumevamiwa" au "Tunatumiwa", or even both.
Shark hivi kweli wafikiri kwamba ilikuwa ama ingekuwa ni busara kumwacha Mhando madarakani huku ukiendelea kumchunguza? kama ndivyo mbona katibu mkuu wa wizara hii alitolewa akaekwa pembeni kwanza ndipo uchunguzi ukaendelea. ukweli ni kwamba akiacha basi atafunika makosa yake kwa stail yeyete ile tofaut na akiekwa pembeni ili watu wamchunguze kwa undani.

Binafsi simpingi zitoo kuja na hoja hii ila ninachojiuliza amesema hayo halafu nini kitakachofuata? manake kusema tu haina mashiko yeyote manake kaisema tu tena wenye tv. kama kweli ameliona hili angeomba kuwasilisha hoja binafsi ambatyo kaifanyia utafiti kisha tuone tanesco ikiambiwa wakareview mkataba na pia mkaguzi mkuu wa serikali na takukuru waende wakachunguze.
 
Last edited by a moderator:
nawashangaa sana watu wanaomponda Zitto wakati ni mmoja wa viongozi aliyechangia umaarufu wa CDM kwa kufichua maovu mbalimbali hii inanifanya niamini kuwa wengi wa watu wanaojifanya wazalendo humu JF hawana lolote zaidi ya chuki binafsi na majungu

Uzalendo wetu ndio umetufikisha hapa! Kama tafsiri ya uzalendo ni kunyamazaia madudu ya mashujaa wako.
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg


Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV

Kwa nini hakusema haya kabla ya kutuhumiwa kupokea rushwa?
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg


Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye am

hatuma imani na ZZK.. AJARIBU MWAKA 2020
 
akili yako imefikia hapo...kwani Bunge lililopita alikuwa maechafuka?ya Buzwagi? na unaposema amechafuka unamaanisha kwamba...............???

kama hujui zito kachafuka na ni tatizo ktk nchi hii,wewe pia tatizo.
 
nawashangaa sana watu wanaomponda Zitto wakati ni mmoja wa viongozi aliyechangia umaarufu wa CDM kwa kufichua maovu mbalimbali hii inanifanya niamini kuwa wengi wa watu wanaojifanya wazalendo humu JF hawana lolote zaidi ya chuki binafsi na majungu

Fred kama mtu alikusaidia kujenga ukashirikiana nae je,atakapoanza kukubomoa kwa maslah yake bado utampenda?kifupi zitto anakera ktk kauli zake na busara zinazoanza kuchakaa.
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg


mbunge wa kigoma kaskazini mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya tanesco na symbion.
Tanseco wanailipa kila siku symbion million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
Amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha richamond ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa tanesco na symbion wanafanyamadudu yaleyale ya richmond kiasi kwamba taifa lkinapoteza pesa nyingi sana.
Source :itv

alikua wapi siku zote kuya sema hayo...anaona maji shingoni.....mwambie kumekucha na jua limeisha waka...sasa shuka yanini mchana wote huu.
 
Ameyajua hayo baada ya kupitia kwa makini biashara ya SYmbion na tanesco wiki hii
WIKI 1 TU AMEWEZA KUGUNDUA WIZI HUO,muda mwingne wote alikua anafanya nini asichunguze na kugundua?NA JE ASINGETAJWA KWENYE KULA RUSHWA ANGESEMA HAYA? Kwa ufupi ni kwamba ZZK kajikalangiza na mafuta yake mwenyewe
 
Haya ndio maswala ya kujiuliza au haya mambo yalikuwa ma zito sana? Lazima aseme alikuwa ana jiandaa kulipua bomu hili! But who knows! Ndio hapo mtu ana onekana kujitetea baada ya kuona ana taka kuzama!
WIKI 1 TU AMEWEZA KUGUNDUA WIZI HUO,muda mwingne wote alikua anafanya nini asichunguze na kugundua?NA JE ASINGETAJWA KWENYE KULA RUSHWA ANGESEMA HAYA? Kwa ufupi ni kwamba ZZK kajikalangiza na mafuta yake mwenyewe
 
hata ukimsafisha na JIK itachukua karne kujua kwamba si mwizi

Bado hamna ushaidi ulioshiba kuhusu tuhuma za zk leo ulifa ukikutana na MUNGU akikuuliza kuhusu ushabiki wako wa kusema zk kala rushwa utampa maelezo gani acheni kuimba nyimbo za lugha msizozijua nyingine mtakuwa mnajitukana bila ya kujijua.
 
HAYA ZIITTOOO NAONA UNAJiSAFISHA SASA,SI UNGEPOST TUU KWA ID YAKO KWA NINI UNAWEWESEKA KAMA ULIKULA MLUNGULA WEWE SIO WA KWANZA BANA HATA KARAMAGI SI ULIMUUMBUA KWA KULA MLUNGULA AU??


TULIA AFTERALL UNASOMA PHD ACT BIG BASI UNAKUWA NA AKILI NDOGO SANA MKUU BADILIKA,HAPA JF HUWEZI KUJISAFISHAMZAIDI UNAJICHORESHA TUU
 
Kwa mapunguf yetu tumejisahaulisha yote mabaya ya ccm na tumekubali kuchotwa akili na wanapropaganda tunamwandama zito sababu anautaka urais ujinga huu utatuchelewesha sana kutoka kwenye matope tulipo kama tunaruhusu akili ndogo iongoze akili kubwa. kwa maslah ya watu flanflan aibu kwe2.
 
kwa hiyo anatoa ushauri gani sasa maana wabunge hawaaminiki kwa sasa tumwamini nani?
 
usibishane nae. Zitto amechafuka kweli hasa kwenye swala la kupinga wabunge wasipokee posho hapo ndipo alipochafuka haswa haswa.
Yeye c anazo posho zake kutoka kwa matajiri? Hizo kidogo za bungeni lazima azipotezeeeeeeeeeeeeeee!!??????.
 
Alikuwa na muda Mzuri wa kukemea yote haya wakati akiwa na pia kwa kipindi hiki mwenyekiti wa kamati kuyazuia yote Haya!! sasa mbona anakumbuka shuka asubuhi!! Kama angekuwa na uchungu si angeungana na prof. na Maswi!! Iweje wanaookoa Jahazi yeye anakuwa Mpinzani??
 
Back
Top Bottom