Zitto Afichua Siri Nzito

Nakubaliana kabisa kwamba wafadhili wote wazuie misaada mpaka report ya EPA
na wizi mwingine wa BOT uwekwe wazi.

Nashangaa watu kama Mzindakaya nao wanaongea pamoja na kuliingiza taifa hasara ya mabilioni kwa kutumia BOT hiyo hiyo.

Kwa mwendo wa sasa wa TZ, hatuwezi kusogea kabisa.
 
JK salamu,kama mnazani hizi ni kelele za chura nyie endeleeni na ufisadi wenu.Hivi wewe Mkulo uliokotwa au nyie ndio mnapewa madaraka ya shukrani kwamba wakati wa uchaguzi ulimsaidia JK then umepewa uwaziri tena wizara nyeti,hivi wapinzani wakieleza madhambi ya serikali ambayo ni ukweli mtu wewe unasema wanasema uongo,hivi unatumia akili katika kujibu hoja au ndio kulewa madaraka.Kwa hiyo hata kwa vitu vyilivyo wazi basi maadamu vimesemwa na wapinzani basi iwe nongwa au vibadilike kutoka ukweli na kuwa uongo.(YOU ARE NOT SERIOUS)Acha kujibu hoja kwa kupapasa if you dont know remain silent na sio kubwabaja maneno.

Na nyie wahisani nawapa BIG UP sana kwa kuwatilia ngumu viongozi hawa wasiokua na mfumo mzuri wa kusimamia fedha za umma.Kwani inaonekana misaada wanayoomba huwa ni kwa matakwa yao na kwa kujinufaisha wenyewe,wanakua kama NGO'S za kitanzania kwamba mnapeleka proposala nzuri lakini wakipata pesa zinaishia mifukoni mwao.Huu sio wendawazimu kweli?
 
Tatizo Wapinzania wetu huwa wanashindwa kujipanga na sera makini ,huwa wanakimbilia mapungufu ya CCM katika Kampeni zao badala ya kuja na sera mpya,Kushinda uchaguzi ni mpigango iliyo dhabiti n siyo mipango ya kama kufungua ukumbi wadisco
.

Asilimia 80% ya watanzania wanaishi vijijini. Hawa hawapati magazeti, TV wala internet? Hawajui kinachoendelea... Wanajua CCM tu. Kuna baadhi hata hawajui kama Nyerere alishakufa. Lakini ukifika wakati wa kupiga kura, wanapiga. Kwao hawaoni tofauti kwani wamesha kubali kuwa hayo ndo maisha. Hawajui serekali inatakiwa iwafanyie nini! Serikali haioni umuhimu wa kuwaelimisha kwani kutofahamu kwao ni faida kwa CCM
 
kazi kweli kweli jamani mi nashangaa sana wapinzani wanapokuwa ni mawakala wa wafadhili...wametumwa au....wanajipendekeza ili...waonekane wanajali...?ni kwelii wanajali au wanatafuta njia kujulikana na kuonyesha uwepo wao?je wanajali kwenye nyanja zote?sina ugomvi na wapinzani wa chama tawala ila nataka usawa wa kutetea na kuwakilisha aspects zote...heshima mbele..nawakilisha
 
Mpiganajinambamoja, nakubaliana na wewe kuwa majority ya watanzania iko kijijini. Na SISI EMU wanapuuzia kwa makusudi juu ya elimu ya siasa kama point of weakness wakiamini msemo usemao "ukimwamsha aliye lala utalala wewe" ihali wao wakinufaika na usingizi wa watanzania. Wapinzani wamejitahidi sana kufukisha elimu japo safari ingali mwanzo kabisa.......Tatizo letu watanzania ni wepesi sana kushawishika/kununulika kwa vitu vidogo vidogo mfano t-shirt, kofia, baiskeli, ubwabwa/pilau na pombe na hivyo kuendelea kuwa na maisha magumuuuuuuuuu
 
kazi kweli kweli jamani mi nashangaa sana wapinzani wanapokuwa ni mawakala wa wafadhili...wametumwa au....wanajipendekeza ili...waonekane wanajali...?ni kwelii wanajali au wanatafuta njia kujulikana na kuonyesha uwepo wao?je wanajali kwenye nyanja zote?sina ugomvi na wapinzani wa chama tawala ila nataka usawa wa kutetea na kuwakilisha aspects zote...heshima mbele..nawakilisha

mi binafsi sijakuelewa mantiki ya mchango wako, hebu weka bayana hasa usawa upi?...kujipendekeza kupi?..kwa faida ya nani?...Pesa zinaliwa na wachache...je wahisani ndo wanaoumia au nani?
 
nina mashaka sana na hiki kichwa cha habari ! Zitto katoa hoja, na sasa hoja hiyo imekuwa siri nzito jamani ?? ebu, hivi ni gazeti gani hili wameandika hiihabari ? ahhh, nshajua !

Media naona sasa inaanza kubomoa badala ya kujenga !
 
hivi zitto yuko wapi siku hizi? au katingwa na shughuli za kisiasa ? au kazuiwa na wanachadema na hasa mkuu wao?

njoo tuhabarishane ulituahidi kuwa utakuwapo hapa ww na mnyika ili kuwafanya viongozi wa ccm na wao waje hapa frontline. sasa jee mupo au mumeingia kwa kanzu mpya?
 
Unajua ushauri mmoja wa bure kabisa ambao naweza nikawapa freemedia (Tanzania Daima) na CHADEMA kwa ujumla ni kwamba, lazima wajue hilo gazeti lao wanalotumia kuwatengeneza pia linaweza kuwabomoa vile vile. Maana kama ni kupima (from a scale 1-10) ya headlines anazopata zitto (nakubali ni mfanyakazi hodari) lakini hizi sifa nyingine zitakuja kumuangusha, why because ukiangalia hiyo scale ni kwamba watu washazoea kupata material toka kwake not less than 7-10 ( 7 to 10 ) sasa ikipungua hiyo na akianza kuleta less than 5-10 (5 to 10)to the table, watu wataanza kusema kaishiwa,kafilisika na wataanza kumpuuzia TRUST ME !

Big up zitto. Lakini hao tanzania daima wanaweza kukuangusha vile vile !
 
..hivi,kuna ulazima wa kupata hiyo misaada ya fedha za bajeti?

..kwanini tusile pale kamba iliyotufunga inapofika?

..yangu macho,hii bajeti ina kila dalili za kudoda.

Ndugu yangu, asilimia 40 ya bajeti yetu inategemea hiyo misaada,Japo sio jambo zuri kuwa tegemezi miaka nenda rudi, utegemezi wetu hauwezi kuisha ghafla kwa mtindo wa kususa misaada bali mikakati madhubuti ya kuelekea kwenye kujitegemea
 
Unajua ushauri mmoja wa bure kabisa ambao naweza nikawapa freemedia (Tanzania Daima) na CHADEMA kwa ujumla ni kwamba, lazima wajue hilo gazeti lao wanalotumia kuwatengeneza pia linaweza kuwabomoa vile vile. Maana kama ni kupima (from a scale 1-10) ya headlines anazopata zitto (nakubali ni mfanyakazi hodari) lakini hizi sifa nyingine zitakuja kumuangusha, why because ukiangalia hiyo scale ni kwamba watu washazoea kupata material toka kwake not less than 7-10 ( 7 to 10 ) sasa ikipungua hiyo na akianza kuleta less than 5-10 (5 to 10)to the table, watu wataanza kusema kaishiwa,kafilisika na wataanza kumpuuzia TRUST ME !

Big up zitto. Lakini hao tanzania daima wanaweza kukuangusha vile vile !

YAANI WEWE UNAMDOMO MCHAFU MBOWE KAKUKOSEA NINI? KAMA HAO NSSF WAMEMPA KUTOKANA NA MIKATABA YAO WEWE INAKUUMA NINI?
UNASHINDWA KUJIULIZA KWANINI SERIKALI IMEUZA VIWANDA VYOTE TANZANIA,HII INAMAANISHA NINI MAANA MTU KUUZA KILAKITU INAMAANA CCM IMESHINDWA ..........KURA TUTAMPA MBOWE 2010 BILIEVE ME MAANA SI NYINYI MMESHINDWA SASA HATA KAMA HATOWEZA LAKINI HATUHAIDI TU KUWA ATAWABANA MRUDISHE MLICHO IBA TUTA MPA NA HII ISUE INAENDA MPAKA NDUGU ZETU WOOOOTE WAVIJINI TUMESHA WAPA SEMINA YA KUTOSHA TUONE KAMA MBOE HAKICHUA NCHI HAMTARUDISHA MLICHOKULA.
 
Mie nashangaa na kujiuliza .Je ni kweli JK alijiandaa kuwa Rais kwa maendeleomya Watanzania ama alitaka ndoto yake itimie kama amekuwa Rais yeye na washkaji zake ?Usiri ni mkubw akila mahali na majibu si ya uwazi kabisa .Kulikuwa na haja ya Mkullo kulia na wapinzani ? Kwani hii Nchi si yetu sote ?

Ni kweli jamaa alitaka tu kuwa rais, na ndoto yake ikatimia, basi!!! Hayo matatizo yenu ya miaka nenda rudi mtajijua wenyewe!
 
YAANI WEWE UNAMDOMO MCHAFU MBOWE KAKUKOSEA NINI? KAMA HAO NSSF WAMEMPA KUTOKANA NA MIKATABA YAO WEWE INAKUUMA NINI?
UNASHINDWA KUJIULIZA KWANINI SERIKALI IMEUZA VIWANDA VYOTE TANZANIA,HII INAMAANISHA NINI MAANA MTU KUUZA KILAKITU INAMAANA CCM IMESHINDWA ..........KURA TUTAMPA MBOWE 2010 BILIEVE ME MAANA SI NYINYI MMESHINDWA SASA HATA KAMA HATOWEZA LAKINI HATUHAIDI TU KUWA ATAWABANA MRUDISHE MLICHO IBA TUTA MPA NA HII ISUE INAENDA MPAKA NDUGU ZETU WOOOOTE WAVIJINI TUMESHA WAPA SEMINA YA KUTOSHA TUONE KAMA MBOE HAKICHUA NCHI HAMTARUDISHA MLICHOKULA.

wewe na nani ? maana mimi sitompa, bora aachie ngazi ! amuachie basi hata slaa, maana yeye ananuka ufisadi !
 
Wanasemaga a prophet is never accepted at his own home town.

Makerere yetu hawa watu wanaziba masikio ila ya nje hawataziba masikio as yanaambatana na bakora
 
Back
Top Bottom