Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
Mazwazwa yanaweweseka
Kwani hatujui kuwa hayo magazeti mnayanunua kukipa uhai chama chenu?
Kumbe ACT ni chama cha ulinzi?Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
Kwanini mnahangaika na zitto mwacheni anamaisha yake,michadema bana.
Kwani simiyu yetu ni mumeo?
Kwa nini awekewe ulinzi na Alliance for Change and Transparency badala ya CHADEMA ama zito ameshakihama chama jumla?Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
Masikini Zitto, haya ni maandalizi ya kupotezwa na TISS ili waipakazie CHADEMA kesi yake.....he will go the Wangwe way
Kwani hatujui kuwa hayo magazeti mnayanunua kukipa uhai chama chenu?
Huyu jamaa ni bora akafundishe tu, kashajimaliza kisiasa!! hakujifunza vizuri namna CCM inavyowamalizaga wanasiasa wenye njaa njaa? amuulize baba yake mdogo DR. Kaburu