Zitto aahidiwa kupewa ulinzi na chama cha ACT

Zitto aahidiwa kupewa ulinzi na chama cha ACT

Kama kuna mtu wa kumdhuru Zito, lazima itakuwa ni CCM, na siyo mtu mwingine yeyote. Maana kanuni za ujasusi zinafahamika, ukishatumika katika mipango ovu, ili kuwa na uhakika kuwa uovu huo hautawekwa wazi siku moja, wale waliotumika ni lazima wapotezwe. Hili Zito, Mchange, Juliana, wanastahili kulitambua.

Mnakimbia vivuli vyenu au sio? CHADEMA muueni tu wala haitokufaeni lolote katika siasa ya nchi kwakuwa hamuuziki kwa chochote.
 
Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe, majira...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
namuonya na kumshauri Zitto kwa mara ya mwisho mara tu,atakapotangaza kujiunga na ACT ndio utakuwa mwisho wake wa kuingia Bugeni,maana ACT haitapata mbunge hata mmoja mwaka 2015 na hili jambo ndilo linalotakiwa na ccm kutafuta namna ya kumtoa Zito bugeni kama walivyofanya kwa Kaburu, kama hatafuata ushauri wangu basi atakuwa ni sikio la kufa halisikii dawa
 
Huoni kuwa uzi huu unashadadiwa na machadema?

Nasikia Mnataka kuja na Propaganda eti Mamaake na Zana za Kilimo alipigwa Risasi akiwa ICU, Nyie watu hata Shetani atawakana siku ya mwisho
 
Ulinzi wa kimiujiza? Lakin alisema ameaga Kigoma
 
Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe, majira...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake.
Wadanganyika tuna kazi kwelikweli,CCM itatutawala milele,naongopa wajukuu zangu wakinikuta hai nitawaambia nini!
 
Mnakimbia vivuli vyenu au sio? CHADEMA muueni tu wala haitokufaeni lolote katika siasa ya nchi kwakuwa hamuuziki kwa chochote.
Auawe na nani mtu mwenyewe ameshajiishia,

alidhani yeye mjanja kumbe kuna wajanja zaidi yake, chezea CCM machinery wewe inakata kote kote.
 
Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe, majira...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
Kwani sasa hivi analindwa na nani? Je wanachama wote wa ACT wanapewa ulinzi au ni Zitto tu na kwanini?
 
Hahahah....siasa za Tanzania bana, hivi sijui huwa mnawezaje kuwaita watu wenye mawazo kama haya ni viongozi!!!

Na mie nimejaribu kushangaa kidogo kwa kaimu Mwenyekiti kuongea pumba mchana kweupeee....

“Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake.”
 
namuonya na kumshauri Zitto kwa mara ya mwisho mara tu,atakapotangaza kujiunga na ACT ndio utakuwa mwisho wake wa kuingia Bugeni,maana ACT haitapata mbunge hata mmoja mwaka 2015 na hili jambo ndilo linalotakiwa na ccm kutafuta namna ya kumtoa Zito bugeni kama walivyofanya kwa Kaburu, kama hatafuata ushauri wangu basi atakuwa ni sikio la kufa halisikii dawa

viongozi Wangapi uliwapatia ushauri wakakataa kuufuata na ikapelekea kushindwa kuingia bungeni?
SURUALI FUPI kwelikwel wewe, 3D yako haina mashiko nyambafu syendhi mpxiiiiiiii

.made in mby city.
 
viongozi Wangapi uliwapatia ushauri wakakataa kuufuata na ikapelekea kushindwa kuingia bungeni?
SURUALI FUPI kwelikwel wewe, 3D yako haina mashiko nyambafu syendhi mpxiiiiiiii

.made in mby city.

sasa kwa kutoa hushahuri unanitukana sasa kama ningekuwa nalaumu si ungenipiga kabisa,haya bwana kama wewe ni Zitto au umejibu kwa niaba yake mimi nashukuru Mungu tu,tusubiri wakati utakapofika
 
[SUB]CHAMA cha Alliance Transparency For Change (ACT) Mkoa wa Kigoma, kimeahidi kumlinda na kumtetea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), kutokana na changamoto zinazomkumba kupitia watu wachache wanaotaka kumwangusha kisiasa.

[/SUB]
[SUB] Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya chama hicho, Bw. Jaffar Kasisiko, aliyasema hayo juzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Cine Atlas, kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] Alisema chama hicho hakipo tayari kuyafumbia macho matatizo yanayomkuta Bw. Kabwe na kumshauri mbunge huyo aachane na CHADEMA badala yake ajiunge na ACT ili aweze kukusanya wanachama kuanzia ngazi ya kitongoji, vijiji, kata na wilaya.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] Aliongeza kuwa, uongozi wa CHADEMA una hila ya kusambaza maneno kwa umma dhidi ya Bw. Kabwe ili kulinda masilahi yao binafsi badala ya kutetea haki za wanyonge.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] “Kabwe asipoteze muda wa kulumbana na uongozi wa CHADEMA, huu ni wakati mwafaka kwake kufanya uamuzi makini wa kwenda kuifuta kesi dhidi ya chama chake mahakamani na kujiunga na ACT,” alisema Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Msafiri Wamalwa.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] Katibu Mwenezi Wilaya ya Kigoma kutoka chama hicho, Anzoluni Kibela, alisema ACT imeandaa kadi kwa ajili ya Bw. Kabwe ambapo kuna wabunge 18 wapo tayari kujiunga na chama hicho kwenye uzinduzi rasmi ulipangwa kufanyika mwanzoni mwa Septemba mwaka huu.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake.[/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] [/SUB]
[SUB] [/SUB][SUB] Baadhi ya wanachama wapya wa ACT akiwemo aliyekuwa Mweka Hazina wa CHADEMA Kigoma Ujiji, Bw. Hamidu Hamis na Katibu wa ACT wilayani humo, Bw. Haji Idd, walisema wamejiunga na chama hicho ili kuleta uwazi na uwajibikaji[/SUB]
 
Hii imepostiwa hapa leo na inajadiliwa, vipi mbona unakurupuka mkuu?
 
sasa kwa kutoa hushahuri unanitukana sasa kama ningekuwa nalaumu si ungenipiga kabisa,haya bwana kama wewe ni Zitto au umejibu kwa niaba yake mimi nashukuru Mungu tu,tusubiri wakati utakapofika

Watoto bwana

.made in mby city.
 
Na mie nimejaribu kushangaa kidogo kwa kaimu Mwenyekiti kuongea pumba mchana kweupeee....

"Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake."
Nimechekakidogo nife! Hivi Watanzania wataendelea kuonekana wajinga mbele ya hawa wanasiasa uchwara hadi lini? Kama ungekuwa mkutano wa hadhara kwa maneno hayo walipaswa kumfukuza kwa mawe. Na kama ni wa waandishi wa habari walipaswa kukusanya kamera zao na kuondoka. Ujinga mtupu huo.
 
Kwanini mnahangaika na zitto mwacheni anamaisha yake,michadema bana.
yeye ndio anahangaisha wapambe wake wamzungumzie, anaona anasahaulika chadema inahusikaje hapo? ukishatoa mende ndani ya nyumba ukamtupa nje utaendelea utoka nje kumuangalia? HUyo ni kama mende alietolewa ndani chadema wameshafunga mlango kai zinaendelea. Aendelee kujitekenya na kucheka mwenyewe,
 
Angekuwa albino afadhali kwa ngozi hiyo ulinzi wa nini?
 
Back
Top Bottom