DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Zitto alikuwa zamani
Zito kweli ni kisiki cha mpingo.
Yaani we bado unamuwaza Zitto tu.Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.
Mwenzenu anaangalia maslahi kwanza, kuna uwenyekiti wa PAC amuachie nani?, kuna kinuamgongo cha ubunge mamillion ya Shillingi amwachie nani?, mwenzenu yupo kifedha zaidi, kama mlikuwa hamjui basi litamueni hilo.
"Kabwe asipoteze muda wa kulumbana na uongozi wa CHADEMA, huu ni wakati mwafaka kwake kufanya uamuzi makini wa kwenda kuifuta kesi dhidi ya chama chake mahakamani na kujiunga na ACT," alisema Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Msafiri Wamalwa.
Kumbe hata lofa kama wewe anaweza kung'amua mjinga na asiye mjinga?Mkuu, mbona umehamaki sana? Simiyu Yetu kakugusa penyewe nini? Rudia kusoma ulichoandika halafu ujione jinsi ulivyo mjinga
Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake.
Ha ha haa ulinzi wa nini tena wakati alisema ana ulinzi wakutosha kuwa atakayemgusa kwao hatasalia hata panya.
Hahahah....siasa za Tanzania bana, hivi sijui huwa mnawezaje kuwaita watu wenye mawazo kama haya ni viongozi!!!
Kabouru yupo??
Kwanini mnahangaika na zitto mwacheni anamaisha yake,michadema bana.[/QUOTE
CHADEMA inahusu nn hapo au pepo linakusumbua?