Nenda kafue soksi kwanza
Na mie nimejaribu kushangaa kidogo kwa kaimu Mwenyekiti kuongea pumba mchana kweupeee....
"Naye Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Bw. Shaban Mambo, aliwasihi wananchi wamuunge mkono Bw. Kabwe atakapojiunga na chama hicho ili aboreshe hali ya usafiri wa reli ya kati kwa kuwaletea treni inayotumia umeme kwa gharama zake."
Una evidence gani kusema hao walioshadadia ni chadema?Huoni kuwa uzi huu unashadadiwa na machadema?
Kama haya mngeyatumia pia kutafakari michezo yenu na mate mnayotoa dhidi ya CDM huenda ningekuwa mwanaccmKwanini mnahangaika na zitto mwacheni anamaisha yake,michadema bana.
Lisu katangaza kugombea urais naye ameshahojiwa na wenye chama?