Zitto aahidiwa kupewa ulinzi na chama cha ACT

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Chama Alliance for Change and Transparency mkoani Kigoma kimeahidi kumwekea Ulinzi Zitto Kabwe dhidi ya wabaya wake kisiasa. Pia ameombwa afute kesi ya CHADEMA ili aendelee na harakati za ACT
Source : Mtanzania, Nipashe, majira...
My : Lililosemwa kuwa Zitto alishajiandalia chama na wasaliti wenzake kwa msaada wa CCM linazidi kujidhihirisha na kutimia.

 
... Mimi nilizani zito anazushiwa, kumbe kweli?
 
Huyu jamaa ni bora akafundishe tu, kashajimaliza kisiasa!! hakujifunza vizuri namna CCM inavyowamalizaga wanasiasa wenye njaa njaa? amuulize baba yake mdogo DR. Kaburu
 
Kamanda hauwezi kuchangia mpaka uporomoshe matusi au ndiyo silaha ya Bavicha.

Kuna matusi gani hapo? Tatizo lako una kimbele mbele sana..kazi yako kudandia hoja.
 
Zitto forever ever name mtamtambua yeye nani
Wewe endelea kuota ndoto za mchana tuu. ..zito Qushney siku nyingii...hana impact yoyote kwa chadema. ..yeye atulie zake na magamba wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…