kichapo2015
Member
- Jun 10, 2011
- 23
- 0
- Thread starter
-
- #21
Turudi kwenye suala la msingi, huyu mpiganaji anajaribu kutuonyesha njia sahihi ya matumizi ya fedha za walalahoi walipa kodi. Naomba wanaojua hesabu watukokotolee, mapendekezo haya ya Mheshimiwa Zitto yakifanyika kwa wabunge wote wa Jamhuri ya Tanzania zitapatikana fedha kiasi gani zitakazotumika kwa maendeleo ya majimbo yao?
mi naona wewe ndio hujui kuandikaSOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO
Mkuu hilo ndilo neno. Sijui kama ni Zito ama ni CHADEMA. Yote sawa. Ila kinachosemwa hapa ni posho za vikao kwamba kikao ni sehemu ya kazi yako kwa nini basi ulipwe? Ikiwa posho za vikao zitaondolewa bungeni basi itabidi zisilipwe kote serikalini kwa maana serikalini sehemu kubwa ya OC inaenda kwenye posho hasa za vikao. Hii ikitokea basi itaokolewa pesa nyingi sana. Kwa sasa siwezi kuwa na figure lakini itakuwa ni pesa ndefu
Wewe unatatizo sugu...Mala nyingi NYANI HAONI KUNDULE
Sasa preta, tusi ni nyani au kundule?Majina ya wanyama ni matusi siku hizi.Kwa mfano sokwe ni tusi.umeshaanza kutukana sasa....ngoja nakugombeza sasa hivi
Mod hii inafaa ihamishiwe jukaa la lugha....itakua ndio mahala husika.Hapo kwenye nyekundu mimi nachoka kabisa
HahahahaDahhh JF kunA raha jamani..umenichekesha kwa kweliHuyu jamaa amekuja kufanya vurugu JF!!karibu sana mkuu,vipi umetoroka Milembe?pole sana!!
HAhahahahaha looohhhhMwacheni jamaniNitakuchapa na TOOTHPICK...