Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

Ukiona hivyo ujue
Hii ni mikwala, anaetakiwa kuheshimu ndoa ni mwanandoa mwenyewe c mimi wa nje, hata mimi nilishacontroll mke wa mtu, nikiwambia leo ucmpe jamaa ili kesho unipe mke anajiuguza, hvo jamaa hapati kitu.
 
Penzi la mchepuko likikolea ujuee ndio mchepukaji anakaribiaa kukamatwa... Mkuu mda wako unahesabikaa.
 
Utaona raha zaidi siku ukifilwwa baada ya kuwekwa mtu kati!
 
Huyu jamaa anajiona mjanja sana sahivi..Bora angekuwa demu wa mtu ila sio mke!
Mwenye mke akitaka kumdaka ni dkk0 tu kwa zama hizi...Yani kwa software ndogo tu anaibug hio simu ya mkewe kwa siku3 tu na atausoma mchezo wote na anamtafuta huyu mbwiga na kumfanya kitu mbaya!
 
Mkuu kumfuatilia mke wa mtu ratiba zake kwa siku ni kitu rahisi sana ,omba sana mungu jamaa aendelee kuamini mke wake hacheat,akimfuatilia tu utanaswa fasta na mapigo yake unayajua,,,,,,,,,,nakushauri achana na wake za watu mkuu !!!!
Mikwara hii.
 
Uzi huu umenithibitishia kuwa kumbe wake za watu wengi wanamegwa. Nami nina post yangu jukwaa la sheria mkuje muweze kunisaidia mawazo.
 
Unajisifia uzinzi roho nyeupeeee! Si ndo nyie mkienda kwa Karumanzila hamuoni hatari kuhadithia. Aibu ndugu yangu.
 
Ipo siku watu wataicrack code ya rinda zako,shauri yako.
 
Kuna clip moja inamuhusu aone wagoni wanavyonaswa...

Kwa usawa huu pesa ngumu, mfumuko wa bei, ada za watoto, njaa...halafu mtu anafurahia kuchezea familia ya mwenziwe...
 
Kamwe usimuamini mwanamke mkuu...utaingia mkenge muda si mrefu mwanaume ni mfano wa Mungu......
 
mimi huwa namtumia neno 'ulanzi' akijibu 'ugimbi' jua yupo ready kuchati ila akijibu 'komoni' ujue access denied BUT akijibu 'ugimbi komoni' hapo ujue ni handle with care...
 
mbegu uliyoipanda matunda yake utayala tu jua na wa kwako lazima utamegewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…