Dah Mkuu umetisha mbaya....ila kweli wacha wamshike halafu tuone hizo codeNgoja unaswe ndio utazijua hizo code vizuri.
In life....never under rate any man as long he is the same man like you.
Laiti ungejua na yeye anatumia code gani usingethubutu kuendelea na huyo Mke wake.
Ni suala la muda tu, hakika utakuja kunaswa tena kirahisi mno wala hutaamini.
Dah, mwenzake walipasua vichwa kutengeneza codes hadi leo tunawasiliana kirahisi, yeye amebuni codes za FANTA vs COCA ili atafune mke wa mtu.wenzako walitengeeza code leo tunafurahia mitandao ya kijamii na app kibao ww mbulula unatengeneza code za kuangamiza familia za watu alafu unategemea mvua itanyesha
Dah, mwenzake walipasua vichwa kutengeneza codes hadi leo tunawasiliana kirahisi, yeye amebuni codes za FANTA vs COCA ili atafune mke wa mtu.
Nchi imeoza toka juu hadi chini aisee.