Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

Ewalaa!! Hayo ndio mambo, kisa cha kuishi kama unaoga njia panda ili iweje!! Muda wa kukaa ufikirie ya maana unafikiria codes za kuchepuka!! Waii!!!
Maisha yenyewe sikuhiz yanabanaaa uchumi nao umebanaaaa mtu unapata wapi huo Muda???
 
Ningependa kusikia story yako umefumuliwa marinda
 
Ngoja aweke pini kwenye papuu....yake ,, wewe na pepsi yako mtabakia kwenye kampuni teh
 
Niliwahi kuwa cheated na mchumba wangu wa kitambo

Aisee shikamooo wanawake, alikuwa kasevu MSUMBUFU,akipigiwa anamtukna kweli yaan wanatukanana hatar, kumbe yake ni kuwa mi nipo ili wasipige story zao, nilipogundua nilichoka aiseeee!!!!
 
mimi ndo kwanza naskia leo[emoji23][emoji23][emoji23]...
kweli kuchepuka kazi!
kisa cha kujipa uwakala wa pepsi na coca kama duka la jumla? mpango wa kando???!!!!
Em mimi nitulizane!!!!
 
Sudo apt_get install sex
 

GRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ***** KABISA KUMBE HUKU TUNANYIMWA MARA KICHWA MARA TUMBO MARA MP ZA GHAFLA ASEE machalii simuoe ?
 
Dah binadam halindwi, hayo yote ni kuolewa na mtu usiempenda. Wacha nikomae na mbeba box wangu wengine wakafie mbele
 
Professional chita..na unajisifu as if unafanya jema. .
Kumbuka mtenda hutendwa..
 
Mwanaume ambaye hajalogwa na ana akili zake timamu hako unakokafanya ni ka kitoto sanaaaa... Sema kwamba jamaa hana time na wife wake by the way ashafanya mpaka amechoka, sasa we jifariji kwamba ni mjanja ila siku akiamua hiyo fanta yenu itakuwa mirinda.

Kwa mfano akianza kutaka kuona txt zinazoingia anaomba simu huoni kama italeta shida hata kama zinafutwa..??

Yeye akisikia mlio au kuona mwanamke anaangalia simu na ku-type kitu anacheki tuu ni SAA ngapi...sasa ole wake asikute text aliyosikia inaingia mda huo. Hapo ndio fanta itageuka Novida.

NB: za mwizi ni arobaini, usipodakwa jua na mkeo nae atatumia code.
 
Life is not fair but God is fair always. Katika maisha kuna kusalitiwa na mwenzi wako ila ipo siku Bwana anamfunua uchi wake ili ajutie uzinzi anaoufanya, ni huzuni sana wewe mchepuko kumshauri mke wa mtu kumnyima tendo la ndoa mmewe, ninakutaka uache mara moja kama hutaki bhasi Bwana aliyeanzisha ndoa akuumbue na kukuweka uchi.
 
Umepanda now utakuja kuvuna utapoowa ndo utaona uchungu wake
 
Wwe ni fara chalii!kijana mzima unafagilia kudet na mke wa MTU?u are in danger zone guy
 
Tupo wengi mkuu usiogope, mi yule mmoja nikisema:- mkuu nipite...... kama jamaa yupo ananijibu tu "hakuna njia"..... kama jamaa yupo lakini tunaweza kuchati ananijibu "pita kwa tahadhari njia sio nzuri"

Yule mwngne code zetu ni:- kaka yake? Kama jamaa yupo ananijibu <=====, kama hayupo ananitumia ======>, yani hadi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…