Zipi zinafaa kati ya hizi

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,457
Reaction score
3,923
Habari za alfajiri waungwana?

Kuna mwanamke huwa nammendea leo ana birthday, toka juzi ananiambia eti anataka zawadi ya birthday (ikumbukwe ana mpenzi wake).

Sasa mimi nataka nimtege kwa kumpa zawadi ya chupi nione kama atazipokea au atazirudisha.

Sasa ebu niambieni, zipi kati ya hizi ni nzuri?
 
Dunia hii. Yaani alfajiri yote hii hata usali kidogo kwa kumshukuru Mungu kwa kukuamsha salama na kukupa afya njema we unawaza mwanamke?

Inasikitisha sana kwa kweli. Lissu anapata shida bure mahabusu kwa aina hii ya Watanganyika.

Dah
 
Samia ana kazi sana
 
Anawaza mwanamke wa mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…