Ntadeal naye we muache tu!Nisaidie my huyu anapanga kunimalizaš¤£š¤£
Faida unayoihitaji kwenye mahusiano ni ipi?Sijaona faida
Asante beibNtadeal naye we muache tu!
Basi wewe wasikupe cheti mwanzoni mwa ndoa! Wakupe mwishoni tu aiseešš¾Nikiwa best student kwenye ndoa mtaanza kusema me mwanga sijui nini wakati mlikuwa mnaona jinsi ninavyopambana kwenye kusoma ššš
Vyovyote vile ila naamini CHETI napataBasi wewe wasikupe cheti mwanzoni mwa ndoa! Wakupe mwishoni tu aiseešš¾
Naaminia mkuu!Vyovyote vile ila naamini CHETI napata
ššFaida unayoihitaji kwenye mahusiano ni ipi?
Nakusikiliza.šš
Basi mkuu yaisheNakusikiliza.
š¤š¤Basi mkuu yaishe
Huna tatizo baki hivyo hivyo hakuna tabusasa mie mwenzenu na miaka 45 sina mke,sina watoto na sina mchumba.Tatizo langu naogopa watoto wakike.Na tangu kuzaliwa kwangu sijawai kuwa na demu wala kupanda jukwaan.sijui tatizo langu ni lipi?Naomben ushauri wenu wakuu
Kwenye pesa hawataki usawa wa kijinsia. Kanuni yao ni za mwanaume za wote za mwanamke ni za mwanamke peke ake.Na pesa kila mmoja awe na zake
Ewaaaa, kila mtu awe na cha offer nje ya uchiNa pesa kila mmoja awe na zake
Sema hii wanaume tukikaza, wakina dada wengi wataukimbia mji. Maana ukipiga hesabu watakaokosa hela ya kodi ya chumba/nyumba, ada ya chuo, chakula n.k ni wengi sana.Ewaaaa, kila mtu awe na cha offer nje ya uchi