kuna kipande cha nyimbo ya banana anaimba ' ayee moyo waangu ungelikuwa ni kioo ungeshavunjika zamani, ingelikuwa ni gari ungeshagongwa na treni, lakini ni hai sababu bado nakupenda'
naombeni mwenye kuujua anambie ni wimbo gani ili niudownload!!!
Aisee kuna ngoma moja ya Banana Zorro ni RnB flani hivi inapigwa sana radio stations nyigi hapa nchini. Naombeni kujua jina la wimbo ule na kama kuna mtu ana link yake aisaidie pia.
Kuna ile albam ya B love M ilikuwa kali sana na ndani yake kulikuwa na wimbo wa nimekuchagua wewe ambao Banana alishirikiana na Bob Ludala. Mle ndio kuna vibao kama Pole wangu rafiki ba nyinginezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.