Zipi ni sifa za mwanamke anayefaa kuolewa?

1) Akiomba sh 113,000/= na ukampa na ukaona akilamba kidole na kuanza kuzihesabu mbele yako, huyo hafai kumuoa

2) Akiwa muongeaji sana mbele za watu kuliko wewe, huyo mkimbie

3) Akiwa anagundua uongo wako kwa asilimia 85 na kukueleza bila kificho (bila kumezea) mbele ya kadamnasi au mkiwa wawili huyo ndo haswah! Mkimbie mbali maana ana akili za kiume, ni hatari kwa afya na uhai wako.

Ukisoma kwa juu juu utazani porojo ila ukitafakari na kuchambua utaona point na kukusaidia kufanya mauzi sahihi.
 
wanajamii forum wenzangu, eb mnisaidie nifaham sifa anazotakiwa kuwa nazo mwanamke wa kuoa.
Bila shaka kwa sifa hizo, ninavyoona mimi ndo zitakamilisha neno "mwanamke mzuri"
sifa za mwanaume anayestahili kuoa ni zipi?
 
  1. mpole
  2. si mjivuni
  3. mcha mungu
  4. sio taahira,mwenye akili ya kujua baya na mema lol
  5. mchapa kazi sio mvivu
  6. msafi
 
Labda mimi nikutajie NUSU (one over two) ya Tabia za HUSNINYO kisha utachanganyua mwenyewe kwamba zina mashiko ama laa,
A. Husny ni Mzuri, Mrembo, ni mwenye mvuto in general .
B. Husny tangu nimfahamu akiwa O level sijawahi kusikia amegombana na mtu (kwa hili Mods ni witness)
C . Husny ni Mpole, Mtaratibu, ana Hekima, Busara, Hasira ndiyo kabisaa hajui, ila mkali kidogo ukimuudhi , lakini mwepesi sana wa kusamehe.
D. Husny ni Mcheshi, si mgumu kumzoe, si wa kununanuna , hana kiburi, anajua kujali, si Mchoyo, ni Mkarimu.
E . Anayajua Mapenzi.
Hizo ni NUSU tu ya sifa zake.
Je? Unazionaje ? Zinafaa ?
 
1-Awe mzuri

2-Awe mfata dini ya ki islam, sababu hakuna dini inayo kubaliwa zaidi ya uislam mbele ya mungu.

3-Awe katoka katika ukoo mzuri.

4-Awe kakupenda kwa dhati sio ile nakupenda tu kwa mdomo :cool2:
 
Apo kw red....umejuaje??
 
1-Awe mzuri

2-Awe mfata dini ya ki islam, sababu hakuna dini inayo kubaliwa zaidi ya uislam mbele ya mungu.

3-Awe katoka katika ukoo mzuri.

4-Awe kakupenda kwa dhati sio ile nakupenda tu kwa mdomo :cool2:

LOL.. nilijua tu huwezi kukosa ku comment hapa..
 
1) Akiomba sh 113,000/= na ukampa na ukaona akilamba kidole na kuanza kuzihesabu mbele yako, huyo hafai kumuoa

2) Akiwa muongeaji sana mbele za watu kuliko wewe, huyo mkimbie

3) Akiwa anagundua uongo wako kwa asilimia 85 na kukueleza bila kificho (bila kumezea) mbele ya kadamnasi au mkiwa wawili huyo ndo haswah! Mkimbie mbali maana ana akili za kiume, ni hatari kwa afya na uhai wako.

Ukisoma kwa juu juu utazani porojo ila ukitafakari na kuchambua utaona point na kukusaidia kufanya mauzi sahihi.

Hapo kwenye red - mh! hivyo Mwanamke anayedanganyika ndio anafaa??? Mwanamke ambaye akili zake haziwezi kupambanua - uongo na ukweli (au mema na mabaya) ndio fit kuolewa??? Fafanua please
 
11. Awe na jinsia mbili
12. Awe na sura kama ngumi ya mwizi
13. Awe na vinyweleo kwenye chuchu zake
14. Awe na mikono yote ya kushoto

15. Awe mpenda ngono
16. awe anavuta sigara
17. awe na vigingi Mguuni
18. asiwe muoga kutoa tigo.
19. asiwe mcha mungu na awe anatumia gongo kidogo
20. chaumbea na asiye na aibu
 
Hapo kwenye red - mh! hivyo Mwanamke anayedanganyika ndio anafaa??? Mwanamke ambaye akili zake haziwezi kupambanua - uongo na ukweli (au mema na mabaya) ndio fit kuolewa??? Fafanua please

Yatima, mwanamke anayefaa ni yule anayemwacha mwanamume awe mwanamume. Lazima akubali kwamba upo wakati mume wake atadanganya kaenda ofisini kumbe alikwenda kuangalia sinema za wakubwa. Ukubwa na busara ni pamoja na kujuwa wapi ulipodanganywa na ukajifanya hujui. Kwa maana nyingine ukiona mkubwa amekaa vibaya utafanya vibaya kumwambia amekaa vibaya, jifanye hujaona.
 
Wanajamii forum wenzangu, eb mnisaidie nifaham sifa anazotakiwa kuwa nazo mwanamke wa kuoa.
Bila shaka kwa sifa hizo, ninavyoona mimi ndo zitakamilisha neno "mwanamke mzuri"
1.Awe shangingi.
2.Awe anashindia mtaa wa 6.
3.Awe anapenda kuvaa kanga 1 na kisha anaenda kwa mgosi kununua sangara mkavu.
4.Awe tipwa tipwa.
5.Akitembea shanga ziwe zinaonekana.
6.Awe mcheza ngoma.
7.Awe amekulia buguruni marapa.
8.Awe mtata kwa mwenye nyumba hasa kwenye swala la kodi na usafi wa mazingira.
9.Awe anapenda kuomba mboga kwa majirani.
10.Wakati wa majambozi awe anatoa mashuzi mwanzo mwisho.
Mkuu ukimpata wa hivyo utatanua sana.
Maana hata ukienda mamtoni huibiwi kirahisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom