Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

wadau nilipata uzoefu wa kuhack games na kula midola kibao kupitia lucky patcher,je hii lucky patcher haiwezi kuchakachua application nyingine apart from games na pili je dream league soccer hii ni android game vipi kwenye pc ipo au laa
 
Kama unapenda game za simu kwenye PC fanya booking ya windows 10 mapema sababu ya universall apps developer wengi wataport app zao kwenye win 10
 
Kwa wanaopenda asphalt 8 ambayo iko hack link hii kwa apk (-------/e6hyF) na data link hii (-------/e6i1i).....kazi kwako
 
Kwa wanaopenda asphalt 8 ambayo iko hack link hii kwa apk (-------/e6hyF) na data link hii (-------/e6i1i).....kazi kwako

Ukishindwa hapo juu nimeweka na picha kopi link ambazo ziko kwenye mabano
 
Attachments

  • 1438720491805.jpg
    1438720491805.jpg
    36.4 KB · Views: 249
lakini ni arcade ukitaka real car experience toka kwa mtengenezaji huyo huyo (gameloft) tafuta gt racing 2
Screenshot.344569.100000.jpg

hili linakuwa ni simulation ya kuendesha gari zaidi, halina mission nzuri kama asphalt ila lipo ki reality zaidi
Mbona Kule playstore watu wanalalamika sana?
 
Attachments

  • 1441348865105.jpg
    1441348865105.jpg
    30.3 KB · Views: 160
Back
Top Bottom