babamwenyenyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,163
- 5,971
Mbona kwangu now inakataa kabisa kununua coins
Umefuata process zote mkuu?? Mbona easy tu unanua coin hata kama haupo na net nikuclick tu
Mbona kwangu now inakataa kabisa kununua coins
wakuu nimefuata process zote kwa game la D-day frontline-commando, ila mwisho nikifungua linashindwa kufunguka unatkea ujumbe "Download paused because wifi is unvailable".Msaada wenu wakuu.
Umefuata process zote mkuu?? Mbona easy tu unanua coin hata kama haupo na net nikuclick tu
jarbu kumpa no.yko ya watsapp ili umuelekeze kwa pcha may b inawez saidia
Aje pm nimpe no kiroho safi ntamwelekeza
Linataka internet mkuu hilo huchez na mb8 hehehe
Kama unapenda game za simu kwenye PC fanya booking ya windows 10 mapema sababu ya universall apps developer wengi wataport app zao kwenye win 10wadau nilipata uzoefu wa kuhack games na kula midola kibao kupitia lucky patcher,je hii lucky patcher haiwezi kuchakachua application nyingine apart from games na pili je dream league soccer hii ni android game vipi kwenye pc ipo au laa
Kama unapenda game za simu kwenye PC fanya booking ya windows 10 mapema sababu ya universall apps developer wengi wataport app zao kwenye win 10
Nipe email yako nikutumie hilo game mkuu ni halina mb nyingi
Kwa wanaopenda asphalt 8 ambayo iko hack link hii kwa apk (-------/e6hyF) na data link hii (-------/e6i1i).....kazi kwako
Ukishindwa hapo juu nimeweka na picha kopi link ambazo ziko kwenye mabano
nimekop hzo link vzr nimeingia na cjaona hlo game mbona
Mbona Kule playstore watu wanalalamika sana?lakini ni arcade ukitaka real car experience toka kwa mtengenezaji huyo huyo (gameloft) tafuta gt racing 2
hili linakuwa ni simulation ya kuendesha gari zaidi, halina mission nzuri kama asphalt ila lipo ki reality zaidi
Mbona Kule playstore watu wanalalamika sana?