Zipi ngoma zako kali 2025?

Zipi ngoma zako kali 2025?

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
650
Reaction score
1,778
Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa, Gospel ikigusa mioyo kwa ujumbe wa matumaini, huku Hip Hop ikiendelea kuwa sauti ya kizazi. Nyimbo nyingi zimeachiwa, nyingine zimetikisa chati, na nyingine zimekuwa gumzo kubwa mitandaoni.

Kama mdau wa muziki, Ni nyimbo zipi za 2025 unazoziona kuwa kali zaidi hadi sasa? Ni msanii gani amekubamba kwa kutoa nyimbo kali sana?

Kwangu binafsi nyimbo bora

1. Makombolelo
2. Bengicela
3. Tholukuthi
4. Pawa
5. Tswala Bam

Nyongeza
1. Shika Makende - Halima Nyakanga
 
Ukiweka kasong on repeat siku moja basi wanakuwekea ndiyo kipenzi chako!!
Screenshot_20251229-144018.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom