Ziogopeni Smartphones za kupewa.

Ziogopeni Smartphones za kupewa.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni mtego mbaya wa kunasa kila kitu unachokifanya kwenye simu yako. Nakumbuka nikiwa nafanya kazi na Taasisi fulani nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutumia MOTOROLA L7 ambazo tulipewa watu wachache sana kwenye Taasisi hiyo. Tulifurahi sana kupata simu nzuri bila kujua kwamba MD alikuwa anadukua mawasiliano yetu mpaka pale tulipomshutukia. Zipo faida na hasara za kutumia njia hii. Faida: 1. Inajuwezesha kuzigundua njama na hila mbaya zinazofanywa na wafanyakazi wako/rafiki yako, na unaweza kuzizima kabla hazijatokea. Hasara: 1. Ni kinyume cha sheria kudukua mawasiliano ya mtu ukigundulika unaweza kushitakiwa napengine kuhukumiwa kifungo. 2. Inakukazimu kuingia gharama ya kumnunulia mtu/watu simu za gharama ili upate kuwadukua. Mwisho: Unapopewa simu ukawa na wasi wasi nayo uza ununue nyingine kama hiyo.
 
Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni mtego mbaya wa kunasa kila kitu unachokifanya kwenye simu yako. Nakumbuka nikiwa nafanya kazi na Taasisi fulani nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutumia MOTOLORA L7 ambazo tulipewa watu wachache sana kwenye Taasisi hiyo. Tulifurahi sana kupata simu nzuri bila kujua kwamba MD alikuwa anadukua mawasiliano yetu mpaka pale tulipomshutukia. Zipo faida na hasara za kutumia njia hii. Faida: 1. Inajuwezesha kuzigundua njama na hila mbaya zinazofanywa na wafanyakazi wako/rafiki yako, na unaweza kuzizima kabla hazijatokea. Hasara: 1. Ni kinyume cha sheria kudukua mawasiliano ya mtu ukigundulika unaweza kushitakiwa napengine kuhukumiwa kifungo. 2. Inakukazimu kuingia gharama ya kumnunulia mtu/watu simu za gharama ili upate kuwadukua. Mwisho: Unapopewa simu ukawa na wasi wasi nayo uza ununue nyingine kama hiyo.

The best solution
 
Dawa yake ndogo hamna kupokea zawadi ya simu yenye dalili ya kufunguliwa au basi kama imefunguliwa ipokee fresh tu afu fanya Factory Reset u-wipe kila kitu najua hapo hawajakukamata...
.Good observation by the way maana nimeona mwenyewe wafanyakazi wengi wanapewa simu nzuri nzuri kama zawadi kumbe kunakuwepo na kitu hapo
 
Huu mchezo hata wapenzi wanautumia sana.
 
wanainstall spy call recorder ambayo mawasiliano yako yote yanaingia either kwenye simu yake au email address ambayo karegister ku redirect hayo mawasiliano
 
Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni mtego mbaya wa kunasa kila kitu unachokifanya kwenye simu yako. Nakumbuka nikiwa nafanya kazi na Taasisi fulani nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutumia MOTOROLA L7 ambazo tulipewa watu wachache sana kwenye Taasisi hiyo. Tulifurahi sana kupata simu nzuri bila kujua kwamba MD alikuwa anadukua mawasiliano yetu mpaka pale tulipomshutukia. Zipo faida na hasara za kutumia njia hii. Faida: 1. Inajuwezesha kuzigundua njama na hila mbaya zinazofanywa na wafanyakazi wako/rafiki yako, na unaweza kuzizima kabla hazijatokea. Hasara: 1. Ni kinyume cha sheria kudukua mawasiliano ya mtu ukigundulika unaweza kushitakiwa napengine kuhukumiwa kifungo. 2. Inakukazimu kuingia gharama ya kumnunulia mtu/watu simu za gharama ili upate kuwadukua. Mwisho: Unapopewa simu ukawa na wasi wasi nayo uza ununue nyingine kama hiyo.

Kwa teknolojia iliyokuwepo hata uwe na simu aina gani, anaetaka kukunasa maongezi yako anaweza.

Huna pa kujificha, labda uwache kutumia simu kabisa, haijalishi ni smartphone au dumbphone au aina nyingine yoyote.
 
Ni kweli kabisa kwa Technologia ya sasa wakitaka kukupata mawasiliano yako huwezi kwepa hata kama unatumia simu zinazotumia Satellite kuwasiliana moja kwa moja.
 
Naomba unieleweshe hapo kwamba mtu anaweza je kupata calls zako?
Umemaanisha kila mtu anaweza au ulimaanisha vyombo vya usalama?

Navyojua wenye Logs kama hizi ni watu mitandao ambao wanatunza privacy sana e.g kuna mtu aliibiwa simu bahati nzuri alikua ame install Anti-theft ambayo ilimtumia Serial number(sio namba ya simu) ya mwizi pale alipojaribu kuweka line yake,alichofanya aliipeleka hiyo Serial no kwa mtandao usika nakudai kaibiwa simu lakini jibu walilo mpa ni kwamba hawawezi disclose info za mteja yeyote labda aje na polisi au polisi report...

Na kama ni Apps za ku-track mtu akikuwekea labda iwe haujui ila kwa watu wajanja tunafanya clean up za simu zetu mara kwa mara maana haujui unaweza kuacha mahali simu yako ukaenda maliwato mwenzako akakuwekea SMS and Call SPY

Mimi nafikiri kupata phone logs wenye guarantee kubwa ni vyombo vya usalama na sio kila mtu anaweza kwa hili or less kwa kutumia njia kama hizo lkn kama watu wasemavyo Ndo maana Obama alikataa Smartphones za aina yoyote ni kwamba security ni zero kabisa kwa hizi handsets
 
[h=2][/h] Posted 22 August 2012 19:56 GMT

This infographic was originally published on the Compliance and Safety blog.
Online-Privacy.png
 
Back
Top Bottom