Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya

mimi kama sjakula hela yako usifikiri hii pussy utailamba, tena sio hela nigga ni mihela, mnapendaga sana kitonga nyie kila mtu abaki na chake nabaki ma utelez wangu wewe baki na pesa zako.
Sasa kama hautoi nyapu mpaka upewe hela na wewe usiombe hela kama haujatoa nyapu fullstpo
 
Kumbe unauza??

Huyu anaongelea mahusiano ya mapenzi nazani hukuelewa Mada,
Pia kwa wanaouza wenyewe wanasheria zao,.
Na wanautaratibu mzuri tu ambao haunaga migogoro,.

Sizani kama madada poa watakuomba Chipsi yai kipindi unapatana nao au watakuomba ela ya saluni,.

Shida kubwa ipo huku mtaani kwa wanaojiita WANAJIHESHIMU mara sijui WANAWAHESHIMU wazazi wao sijui kutoka USIKU ngumu,.


Dada UNAHESHIMA gani kwa BABA ako mpaka ushindwe kwenda kuitumikia ela ya kijana wa watu?
Heshima hiyo imeanza lini?


Ndio mada ipo hivi.



Wakati kwa SELE unaenda kila siku tena bila kuchoka na HUPEWI chochote kitu
 
...Uzi mzuri sana... Wanaume tunawapenda sana wanawake... Tunaweza kuwahudumia mahitaji yenu bila kusex mpaka ndoa ifanyike... Lakini huwa hatufanyi hivo kwasababu hatuna imani kama mnaweza kuwakatalia wanaume wenzetu wanapowataka... Ndio maana wanaume wengi huwa wanahitaji sex kwanza...
 
...Uzi mzuri sana... Wanaume tunawapenda sana wanawake... Tunaweza kuwahudumia mahitaji yenu bila kusex mpaka ndoa ifanyike... Lakini huwa hatufanyi hivo kwasababu hatuna imani kama mnaweza kuwakatalia wanaume wenzetu wanapowataka... Ndio maana wanaume wengi huwa wanahitaji sex kwanza...
Ndio
 
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake.

Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX.

Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"

Kwahiyo sasa....usitegemee eti mwanaume atakuja kwako na asitake sex..labda awe mwanamke mwenzio katika umbo la kiume.

Ni jambo la kushangaza sana, unakuta mwanamke anakasirika, anamshangaa mwanaume akimuomba sex..sasa ulitaka akuombe kitu gani?

Huyo sio babako, sio kakako, sio mjombako....ni MWANAUME NA KWAKO ANAHITAJI SEX.

Tena wengine ndo ambao mnataka mwanaume awe anajitoa kifedha, ajitoe kwa kila kitu afu ukiombwa sex unakasirika...eishiii.

Kila mwanaume anahitaji sex. Tofauti ipo hapa...

Kuna wanaume ambao sex ndo KITU PEKEE Wanachohitaji kutoka kwako afu kuna wale ambao SEX NI MOJA YA VITU WANAVYOHITAJI KUTOKA KWAKO.

Aina ya kwanza ni wale ambao anataka SEX tu ambapo nyie mnaita "Anataka Kunichezea" aina ya pili ni wale wanaotaka kujenga maisha nawewe, uwe mke na mama wa wanae.

Tofauti ingine ni kwenye "TIME" kuna ambae ukimkubalia leo kesho anakuuliza "sasa inakuaje" manake anaitaka huyo

afu kuna wale ambao wanaweza kuvutavuta (wanasubirisubiri)

Afu kuna wale ambao wanaweza kusubiri mpaka Ndoa (Japo Ni Wachache Sana)

Woote hao WANAHITAJI SEX. Ila uhitaji wao unatofautiana, hivyo weka akilini mwako kuwa WANAUME WOOTE KWAKO WANATAKA SEX.

Na hakuna namna mwanaume anaweza kukupa hela yake kwaajili ya mahitaji yako wewe afu ASITAKE SEX.

Kwahiyo...ukila hela ya mwanaume usimshangae siku akikuomba sex (Ni reward anataka)

Acheni upuuzi wa kutaka mwanaume awajibike kwaajili yako na wakati wewe huwajibiki kwaajili yake.

Kama ukimwambia "No Sex Mpaka Ndoa" Hakikisha Haumpelekei MAHITAJI YAKO (Yapeleke Kwa Babako)

Usitake kaka wa watu akupe wewe hela zake na wakati wewe kutimiza haja zake za kihisia HUTAKI.

Afu wanawake wengi mmekuwa wezi kuliko wezi wenyewe, wengi mnaweza kumwambia mwanaume fulani "No Sex Hadi Ndoa" afu kuna mwanaume unajua hakuoi na unampa.

To be honnest wanawake MNAKERA SANA, Ooh Mwalimu Huyu Kaka Jamani Hanihudumii Hata Kidogo.

Do You expect akuhudumie na wakati kuna mahitaji yake ya kihisia HAYAPATI KUTOKA KWAKO.

Yaani awekeze mahali ambapo HAKUNA REWARD ANAPATA, Subiri siku akikuoa uanze kuwajibika kwake ili nayeye awajibike kwako.

Kama hajakuoa NI JUKUMU LAKO NA WAZAZI WAKO. Usimpe mtoto wa watu mizigo ambayo walipaswa kubeba wazazi wako.

Point Iko Hivi.

Mwanaume Ambae Sio Baba Yako, Sio Kaka Yako, Sio Baba Mdogo, Wala Sio Babu Yako UKIMUOMBA HELA....Ana haki ya kukuomba sex (Hata Kama Hajakutongoza)

Na inakera mno...unakuta mdada ana mpenzi wake mwingine, ambae huwa anampa viuno lakini PESA ANAOMBA WENGINE (Pesa Upewe na Unaempaga Viuno)

Brothers, Stop Being Too Nice. Mwanamke akikupa misimamo yake. Nawewe mpe misimamo yako.

"No Sex Mpaka Ndoa" Mwambie "Its Well, Dont Ask Me For Money Mpaka Ndoa" Akikuuliza Kwanini Mjibu Kwamba👇

"Sex ni Jukumu la Mke kwa Mume, Fedha Ni Jukumu la Mume Kwa Mke, Usitake Niwajibike Kwako Na Wakati Wewe Huwajibiki Kwangu"

Usiwe mwanaume mpumbavu kiasi kwamba mwanamke anakuwekea mamisimamo yake afu yeye hataki kufuata misimamo yako.

Na usiwe mjinga kiasi cha kutoa fedha yako kirahisi. Dont be manipulated in the name of love.

Kimsingi, kama hakupi sex usimpe hela...atumie za kwake au za wazazi wake, na kama ukimuomba sex basi usikwepe suala la kuombwa hela.

Na wewe kadada, Mwanuume ambae unaweza kumvulia nguo akakuona mwili wako ulivo inakuaje eti unamuonea aibu kumuomba hela.

Mbona mna dramaz nyie. Yaani unaweza kuhandle hali ya mtu kukuona ukiwa uchi, unashindwa nini kuhandle hali ya kumuomba hela.

Ukiwa na nyege unamwambia, sasa unashindwa nini kumwambia kama UNAHITAJI HELA. Ukituomba sisi ambao sio wapenzi wako TEGEMEA TU TUTAKUOMBA SEX📌

UKIWA MWANAUME MPUMBAVU, WANAWAKE LAZIMA WAKUTUMIE.

Wanakupa mamisimamo yao, nawewe unaifuata😀

Wana wapenzi wao afu hela wanakuomba wewe.

Point iko hapa; usimuombe hela mwanaume ambae haupo tayari kumpa sex.

Ooh..huyu kaka hajiheshimu, ananiomba sex na wakati mimi sio mpenzi wake.

Mbona wewe hujiheshimu, unamuomba hela na wakati yeye sio BABAKO?

Nimekutana nayo FB
Pole sana kwa kunyimwa kitumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom