Kama Uchumbani unapewa mchezo kwa mbinde usimuoe! Ukifosi kumuoa jiandae kunyimwa hata mwezi/ mwaka mzima

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive.

Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na kusepa, usije fanya kosa la kumuoa, usijiroge uingie nae kwenye ndoa.

Yapendeza kumuoa mwanamke ambae ana feeling na wewe wakati wa mtetemo, sometimes yeye ndie anaku tease muingie kwenye mtetemo, n.k.
 
Sawa
 
_20240112_233501.JPG
 
Akiitaka Sana Tunasema Huyu Sio Wa Kuoa Ni Malaya.Mwanamke Anayependa Dyudyu Ndo Wife Material Pia Huwa Wanajal Sana Sio Wa Hawa Wa "Ingiza Ukimaliza Unifunike"
Ni kweli mkuu. Mwanamke aliyeko ndani ya ndoa, siku zote ni malaya kwa mumewe. Anatakiwa kujiweka tayari mda wowote kwaajili ya mumme.

Sio wale wa kusubiri wavulishwe na pengine kupata penzi hadi ukaze fuvu.
 
Nili fanya hilo kosa mpaka leo najutia lina nitesa sana kuchepuka sija zoea naona hasara nyingi kuliko faida

Mnunulie bamia awe anakunywa kila siku tena wewe muandalie kabisa loweka usiku weka kwa flij kama huna kwa jagi lita moja asubuhi na jioni week tu huyo nyege zinamjaa
Bamia inaleta hamu ya tendo na utelezi

Wakati mwingine mtu hataki kwasababu hana hisia au anaumia so jaribu hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom