Kwa wale mnaotaka kazi za partime online : UltimatePowerBoost : This creates strong financial leverage for all members. nirahisi unarefere watu kwenye webiste yao na unalipwa jinsi unavyo referee zaidi wanakulipa.
Hiyo ni sawa kabisa,
Jamani ukitaka kutenda wema kweli kuwa mwema wa kutoka hata shukrani ziwe za kweli. Do not get tired Pl'se.
Pia ushauri mi sidhani kama Elimu kubwa ndio Uadirifu na Ueledi kazini au Kingereza kilichonyooka tena cha kuongea kama ndio uchapakazi na uadirifu katika kazi hivyo jaribuni kuliangalia kwa undani zaidi wanaachwa watu wenye sifa nyingi kasoro moja wanawachukua watu wenye sifa moja ya kingereza na uku mengine mabomu Naomba nisijibiwe matusi kama la kujibu huna basi kaa kimya.