MTALIMBO100
Member
- Jun 15, 2013
- 7
- 0
Msimlaumu mwenzetu wadau. Kosa c lake ni kiwango kidogo cha teknolojia tulichonacho. Wengi wetu tunatumia simu za kichina kwa internet ambazo zina low capasity ya access. Hivyo tujitahidi bac kurahisisha hizo post ili tusaidiane zaidi!!