ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

Badilikeni jamani.......mjini shule!

Haaaaa haaaaaaa Kazi.kweli kweli....
 
Guys unajua alichoongea huyo jamaa yupo right coz sio wote wanao ingia umu wanasimu kubwa zenye uwezo wa kufungua link wengine wanasimu ndogo wengine wanatumia freebasics hawana ata salio pia la kuingia internet. Embu tuwe na huruma pia na upendo ukisha weka link wataopata izo ajira no walewale wenye uwezo na masmart phone. Tupendane

Thanks BY MEBAMTO THE WISDOMER
 
habari''kazi leo''...kisha ukifungua uzi huo unakuta wameandika ''Bofya hii link''......
Wandugu hii ni Advertisement/Marketing strategy ( Akiweka maelezo tu je Blog yake ataitangazaje?). Unapochangia mada kama hizi tuwe tunajaribu kuvaa miwani ya wahusika wote(Blogger & Wtafuta ajira), Mimi pia naona sio Vyema, Ila unapoleta complain kwenye jambo lolote nimejifunza kusimama kimtazamo kwa pande zote ( Upande wa watafuta ajira lakini pia upande wa Bloggers/ Wamiliki wa hizo tovuti za ajira)

Ukiangalia kama mtafuta ajira basi utaona huu uzi wa mtoa mada blogger wa nazingua, Ukiangalia kama Blogger utaona hao wtafuta ajira wanazingua.
 
Hello guys hope wote wazima My name Is Richard natafuta gari ya mkataba ya kufanyia shughuli Za Uber and bolt vigezo vyote nimekamilika for more information call me through This # 0683719040
 
Back
Top Bottom