ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MR. DRY, Oct 24, 2011.

 1. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

  Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

  Badilikeni jamani.......mjini shule!
   
 2. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  Wabongo kweli hamna shukrani khaaaa!!!
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sasa kama una cmu baac ingia hata internet cafe bwana kama muhim bana.
   
 4. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha kuweka hiyo link tu unapaswa uwe na shukrani,
  unataka nifanye unayotaka kwan unanilipa? Kama hutaki fungua link then acha wenzako wafungue.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu sijui hata unacholalamikia ni nini?
  Kuwa na shukrani mtu anakupa njia wewe ndio unapaswa kufuata hyo njia sasa ww unataka utafuniwe umeze tu.
   
 6. J

  Janybabu Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahaaa... kaka hapo unakosea sasa kama mtu akikaa kimya utajua kama sehemu flani kuna job? we jipind tu mara moja moja si vibaya kuingia nt asee...
   
 7. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtoa talifa yupo sahihi sana pia nawe mpokea talifa kazi ni yako kuifanyia kazi mana umepewa mwelekeo kazi kwako kwenda au kutokwenda
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ukibebwe usilegeze miguu!! wajameni tukue na shukrani!
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Somewhere somehow useful.
   
 10. Bridger

  Bridger Content Manager Staff Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 2, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Anachokisema mkuu hapo juu ni sahihi sana.

  Tunaomba tujitahidi kufanya hivyo.

  Tangazo lolote ambalo halitakuwa na maelezo ya kutosha, kwa maana ya kuwekwa link tu litaondolewa.

  Asante.
   
 11. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkuu mbona tunashuru sana kwa wanaotupa hizo info ila sababu ndo nilizotaja hapo juu.....mjini shule!
   
 12. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndio kauli mbiu ya JF "we dare to talk.........." mjini shule!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ina maana hairuhusiwi mtu kuweka link?..mh akili masaburi hii
   
 14. Bridger

  Bridger Content Manager Staff Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 2, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Tuweke tangazo kama tunavyofanya kwenye jukwaa la siasa.

  Unaweka maelezo ya hilo tangazo ukiwa jukwaa hili/habari ukiwa katika jukwaa la siasa na Link/Source ya hilo tangazo/habari


  Asante
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  kweli ... Jawabu la upole, hupunguza wingi wa hasira...nimekkupata mkuu
   
 16. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  nashukuru mkuu......
  Jamani kitufe kwenye mobile..."THANKS"....
   
 17. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli,,,,,,pia hata mimi inani''boa'' sana...japokuwa natumia ''laptop''......wekeni maelezo japo ya kuhusu hiyo kazi....then ukitaka ku'apply ndio unafuata link......
  Kwa mtu ambaye hana ''ajira'' kisha unamuwekea ma'link'' kibao maana yake anatumia pesa nyingi ku'browse'' ambayo nigharama zaidi (anatumia kitu ambacho kiko nje ya uwezo wake wakati anasaka hiyo ''ajira''.)
  NB:Kama mtu ana''blog yake anataka kujitangaza fanya ivi:-
  User name:Weka jina la blog yako please......Mfano:KWI KWI.BLOG...........ZOOM.BLOG.....TOTOLUCK.BLOG....n.k
   
 18. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anzia kuwaambia hao wenye ma'blog yao ya kazi(Wanaoweka ma'link' tu........wamepewa nafasi bure ya kujitangaza kupitia JF ya bure wanatumia vibaya mbona sijaona ''thread'' ya hao wenye ma''blog'' hata ya kusema ''asante JF''....
  Hata maelezo hawaweki,wanaweka kichwa cha habari''kazi leo''...kisha ukifungua uzi huo unakuta wameandika ''Bofya hii link''......
   
 19. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED....MR.DRY Naomba upigie mstari________________________________________________________
   
 20. l

  lunogelo Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  internet cafe itakua kila siku Ndugu yangu?
   
Loading...