ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

umesoma chuo miaka mingapi wewe?nasikitika maana naona hata ukipata kazi bado utakuwa na mawazo finyu.
Fikiria hivi ingekuwa Vipi JF isingekuwepo leo hii?Je hizo link au matangazo ya kazi ungekuwa wapata wapi?
Kwa mawazo yako madogo unadhani makampuni ya simu yatakugawia service free????inaingia akilini?
Je humu kwenye hii JF mpaka unapost malawama huoni kama unapoteza muda na ungetumi nafasi hii ku google upate nafazi za kazi?
Think twice wewe mamaharaka.
 
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

Badilikeni jamani.......mjini shule!

Biashara ni matangazo ...
 
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

Badilikeni jamani.......mjini shule!

tena ukizingatia hapa mnatangaza bure bila malipo ni vizuri kutoa maelezo yanayojitosheleza
 
Jua ukitaka cha uvunguni sharti uiname. Hamna mtu atakuja kukulisha mdomoni kila kitu kwenye this world of science and tech.
 
bora hiyo ha2a ya kuondoa vijilink visivyo na maelezo ya kutosha na ikiwezekana na izo link zenyewe ziwe active na ndizo husika
 
Hauna hoja kaka,hayo ni matatzo yako binafs na sio ya jamii nzima do u know kwamba jf ni kwa ,maslahi nya jamii yote na siyo wewe kama wewe.hebu ona wanajamii walivokudis na hiyo hoja yako.jipange upya mzee
 
Ndugu yangu sijui hata unacholalamikia ni nini?
Kuwa na shukrani mtu anakupa njia wewe ndio unapaswa kufuata hyo njia sasa ww unataka utafuniwe umeze tu.

Ndiyo maana huyo jamaa hapati kazi. upata kazi unahitaji kujibidisha jomba!!!
 
Hiyo ni sawa kabisa,
Jamani ukitaka kutenda wema kweli kuwa mwema wa kutoka hata shukrani ziwe za kweli. Do not get tired Pl'se.
 
Jaman kuna link zenye info na zingine hazieleweki kabisa, unafungua unakutana na v2 tofauti.
 
Tatizo tu ni Ruga zitumikazo nawashukuruni sana mnaotoa matangazo yenu hapa mnatusaidia sana japo kazi kupatikana ni ngumu hata kama unamasivi kibao mi naona hata kama una uwezo mpana asiyekujua hakujui kabisa. Ni kweli kwamba mashwala ya matumizi ya simu za mkononi kufungua Link au kutofungua ni utaharamu unaotakiwa kuwa nao au ukiona vipi ni vyema kuomba msaada kwenye Cafe au kulipa gharama apate msaada.
 
Pia ushauri mi sidhani kama Elimu kubwa ndio Uadirifu na Ueledi kazini au Kingereza kilichonyooka tena cha kuongea kama ndio uchapakazi na uadirifu katika kazi hivyo jaribuni kuliangalia kwa undani zaidi wanaachwa watu wenye sifa nyingi kasoro moja wanawachukua watu wenye sifa moja ya kingereza na uku mengine mabomu Naomba nisijibiwe matusi kama la kujibu huna basi kaa kimya.
 
link zinatosha sn, jamani tushukuru hata kwa hili maana ingekuwa 2nategemea magazeti ingekuwaje nani angethubutu kununua magazeti zaid ya copy 1 au 2? suala ni kuwasaidia waliokuwa mbali, hii changamoto wahusika wameisikia wataifanyia kazi hata kwa kutafuta njia mbadala kwa kutumia simu! LINK INATOSHA!!
 
Back
Top Bottom