ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

Kweli shukuraniu ni muhimu. Kuna hawa jamaa wanapost kazi on daily basis. Ni Kind of a social network hivi. MAMBOPOINT.COM, they are not as fancy lakini wanaserve purpose
 
upo sawa mdau...But if we don't change, change will change us... Good point, But poor selection of words in communication...Please change too...
 
kweli kabisa, hii inakera sana, unatamani kuliona tangazo moja kwa moja unakutana na link, bundle lenyewe la magumashi, wekeni kitu live and direct
 
unapoamua kumsaidia mtu we saidie sio unamsaidia na kumuewekea mazingra magumu ya kutaka kupata mafanikio yatakanayo na usaidizi wako
 
sasa hapo kipi bora kuweka announcement and then link au kutoweka hilo tangazo ili muendelee kusugua bench kitaani
 
Pia ushauri mi sidhani kama Elimu kubwa ndio Uadirifu na Ueledi kazini au Kingereza kilichonyooka tena cha kuongea kama ndio uchapakazi na uadirifu katika kazi hivyo jaribuni kuliangalia kwa undani zaidi wanaachwa watu wenye sifa nyingi kasoro moja wanawachukua watu wenye sifa moja ya kingereza na uku mengine mabomu Naomba nisijibiwe matusi kama la kujibu huna basi kaa kimya.

Ha ha ha!
Hata Kiswahili fasaha hujui,utapata kazi gani?
Samahani kama nimekutukana.
 
Hii ndio tunayoita SPOON FEEDING ambayo ni tabia yetu wabongo. Elimu yetu ipo hivi na tunaingia mtaani tukiwa na tabia hii alafu unalalamika kazi hazipatikani. Utasota mtaani kama walivyosota wafuasi wa Kibwetele.
 
Watanzania tunapenda vya mteremkooo! yaani unawekewa na link bado unalalamika...mtu kajitolea kutanga kazi wewe badala ya kushukuru unalalamika!
 
Watanzania tunapenda vya mteremkooo!(spoon feeding! why?) Yaani mtu unawekewa na link bado unalalamika...mtu kajitolea kutanga kazi wewe badala ya kushukuru unalalamika! Tujaribu hata na sisi kumake effort...
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom