Wagogoyah! wanachofanya ni hiki kipande cha nyama kinawekwa kwenye mfereji mkubwa wa papuchi kisha inabanwa na chupi siku mbili unapewa likizo ya gemu kisha siku ya tatu anapika pamoja na nyama nyingine(anachanganya) halafu anakulisha na kile kipande lazima utakila tu!
hapo hata aseme nini hutoki...!
NB:ipo kwa kishirikina zaidi
Wagogo
kama ukiniita hivyo sitokataa...ila swali nlangu hujajibu.
bora mchagaaa
Ukitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA na MNYAKYUSA na MZIGUA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume wenza OA MZARAMO. Ukiwa na shamba OA MSUKUMA. Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa MHEHE, Ukitaka kubana matumizi OA MPARE. Ukitaka Kisukari OA MWARABU mara tende mara halua!!! Ukitaka kuji-mix, oa mkerewe au mjita. Na kama unataka kuwachanganya m2 na dadake, OA Mrangi. Ukitaka kubishana na kupigana OA Mnyilamba,.Ukitaka kuzaa sana Oa Muha na ukitaka kubembelezwa na kudanganywa Oa mnyamwezi.
Wagogo
yah! wanachofanya ni hiki kipande cha nyama kinawekwa kwenye mfereji mkubwa wa papuchi kisha inabanwa na chupi siku mbili unapewa likizo ya gemu kisha siku ya tatu anapika pamoja na nyama nyingine(anachanganya) halafu anakulisha na kile kipande lazima utakila tu!
hapo hata aseme nini hutoki...!
NB:ipo kwa kishirikina zaidi
Kwa nini unawatoa hao wagogo au na wewe ni mmoja wao!!!?mdau michezo hii hufanywa na wanawake wa kirangi,na siku ya kuweka nyama kwenye sufuria ya nyama nyingine,anatengeneza baonge la rosti,
wagogo wao sifa yao kuu ni uchafu na kugawa papuchi hovyo
mdau michezo hii hufanywa na wanawake wa kirangi,na siku ya kuweka nyama kwenye sufuria ya nyama nyingine,anatengeneza baonge la rosti,
wagogo wao sifa yao kuu ni uchafu na kugawa papuchi hovyo
BORA HUJATAJA KWETU MAANA NINGEKUPA KISAGO :frusty::frusty: CHA NGUVU
NA USINGEKUMBUKA KWENU
Kwa nini unawatoa hao wagogo au na wewe ni mmoja wao!!!?
Ukitaka mauno oa mmakonde
warangi wale wa IRINGA?
wewe KE au ME. Unajua kuweka kwenye K kitu kile ni siri au wanaweka wazi wazi tu?jamii zote hozo nazifaham,nimeish dom ka miaka ming kidogo,warangi wana sifa hiyo na umalaya wa tabia,ila wagogo wana cfa ya uchafu na umalaya wa rejareja
nasubiri kwa hamu wanambie:welcome:kwa upande wenu sielewi wanafanya nini ngoja waje wenyewe wakujibu!
hope hata humu wapo....