Zingatia kabla ya kuoa

na wale wanaoweka kipande cha nyama kwenye papuchi siku mbili halafu anaipika na nyama nyingine kisha anakulisha ili usimwache ni kabila gani!!?

Tooba! kipande cha nyama kwenye papuchi!!!?? mmmh hii haijakaa sawa, hebu nifafanulie kiduchu
 
Tooba! kipande cha nyama kwenye papuchi!!!?? mmmh hii haijakaa sawa, hebu nifafanulie kiduchu

yah! wanachofanya ni hiki kipande cha nyama kinawekwa kwenye mfereji mkubwa wa papuchi kisha inabanwa na chupi siku mbili unapewa likizo ya gemu kisha siku ya tatu anapika pamoja na nyama nyingine(anachanganya) halafu anakulisha na kile kipande lazima utakila tu!
hapo hata aseme nini hutoki...!
NB:ipo kwa kishirikina zaidi
 
Nyama siku mbili ndani ya papuchi ikitolewa huko umeshaiva na inanukia kama nguru! mmh mapenzi yanasumbua sana wanadamu
 
Nyama siku mbili ndani ya papuchi ikitolewa huko umeshaiva na inanukia kama nguru! mmh mapenzi yanasumbua sana wanadamu

ha! ha! ha! ha! ha!
tatizo nimelisahau hilo kabila!
kwan wewe kabila gani???
 
na kwamimi vegetarian ataniwekea kipande cha boga ama?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…