.......hahahaa mkuu usipate shida humu mara zote komenti mbili au tatu za kwanza ndo huwa zinaamua wengine wote wakomenti nini.......
........mara nyingi humu ukipinga hoja hata kama ni ya kweli kwa asilimia kubwa, ndo unaonekana muelewa na kwamba una miakili sana........
.........humu ndani aina ya komenti piazinazotolewa zinategemea urafiki mlionao, ukongwe, jinsia na umaarufu wa mtu......
.......nakubaliana na wewe kuwa ni kweli kiasili mwanamke ni msafi hivyo huwa anavutiwa zaidi na mwanaume mtanashati hasa anaenukia deodorants za kijanja, lakini pia wanawake wako very sensitive na economic security na promising future ndo maana wakiona kuna namna unashughulika wanaona wako na mwanaume halisi, changamoto inayowaface ni kuwa sio kila mwanaume ana vyote, lakini pia mwanaume anaweza kuwa na vyote ila hana mapenzi ya kweli na mwanamke husika, watu watabisha lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa wanaotupigia wake zetu ni hivyo vijamaa vibishoo(kuoga na kutupia) na mipedejee.....