Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Haya maneno ni kujikosha na kumpa kichwa nanii...
hebu uliza wenzako walowahi kupita anga zetu watakuambia Bishanga na Erick wakoje
Huoni The secretary kalainika mwenyewe kwa Bishanga?

wewe huna lolote hata Amyer kakukimbia wafanya mchezo wewe? huyu Bishanga ndo kabisa manake si uliona msuto wake wote aliojidai kuwahonga walimsuta pasi kujali vijisenti vyake.
 
Last edited by a moderator:

afu babu hii picha ulpata wapi, kumbe we ndo uliiibia nkadhani nilivoachana na nanilii aliichukuwa kumbe we ndo ulipita nayo..... babu duh nimekunyooshe amiguu
 
Anaitwaje.... Sema fasta nifanye mtambiko.
 
Last edited by a moderator:
afu babu hii picha ulpata wapi, kumbe we ndo uliiibia nkadhani nilivoachana na nanilii aliichukuwa kumbe we ndo ulipita nayo..... babu duh nimekunyooshe amiguu

We ni mjukuu mwema. Wengine wananinyooshea mikono we umeamua kunipanulia, sore, kuninyooshea miguu. I will marry u babe... Will you?
 
wewe huna lolote hata Amyer kakukimbia wafanya mchezo wewe? huyu Bishanga ndo kabisa manake si uliona msuto wake wote aliojidai kuwahonga walimsuta pasi kujali vijisenti vyake.
Amyner hajakimbia ila kapumzika JF coz anaona mnampa pressure tu kunimendea...kasema bora asijue km anaibiwa
 
Last edited by a moderator:
Eti odm ulishawahi kupita ule mlango wa dharura? Sijui kwa kiswahili unaitwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…