Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Na asifikiri utarudi. Mie ukibip nakupigia afu nakuhamishia salio! Ntakulowekea hadi simu jf hawatakuona. Chezeiya mapenzi ya kimang'ati?
Hehe
Mi sio wa kuachwa..alikasirikaga tu then akawa mpole...kamua kuniacha nijiachie kidogo...siunajua tena kupendwa raha...
 
Mungu wangu. Mimi ni mshabiki mkubwa wa huyu babu. Amefanya nini naona yuko banned. Hii thread haina mashiko tena.
 
Interview imeisha?
I guess l am late, ila babu ASA if u r so kind to answer my one n only question nitafurahi.

Je ukiwa unacome huwa unafanya nini? Unapiga kelele, unamvuta nywele mwenzi wako, unakunja sura (nikiimagine sura yako ikikunjwa) au unakenua!
 
Kaunga ni vyema Babu Asprin aje ajibu hili swali kabla ya kufunga kipindi!
 
Last edited by a moderator:
Shhhh! Sasa taratibu manake PAW akiamka usingizini atakupiga mkuki wa kalio! Shauri yako, aliwekeza ng'ombe 300 hapa wa kienyeji. Twenzetu ili babu afunguke.

King'asti umeona Paw alichomfanya babu Asprin baada ya kukukabidhi kwangu?
Alivyo na wivu hajanitwanga mimi ban ila kamtwanga babu...!
lol Ila sikuachi hata akinipa ban na mimi...
Muombee msamaha basi
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mzee ODM, mbunge wa muda wa jela ya jf naomba kujibu swali lako kama ifuatavyo.

Akikuja inategemea na siku ya juma, jumapili anakuwa religious zaidi. Hapa ni baadhi ya samples:

Religious: Oh my God! Oh my God!, Optimistic: Oh yes! Oh yes!, Pessimistic: Oh no! Oh no!, Confused: Oh yes! Oh no!, Travelling: Oh I'm coming! I'm Coming
Marathon: Oh don't stop! Don't Stop! Don't Stop
Dirty: Oh fvck! Oh fvck!
Submarine: Oh go depeer! Yeah deeper!
Parental: Mama yangu! Mama yangu!, Pitiful: Oooh! Oooh!
Suicidal: Just kill me! Just kill me!

Note: nimeshindwa kutofautisha za kwake na mkewe, ignore the submarine one...
Interview imeisha?
I guess l am late, ila babu ASA if u r so kind to answer my one n only question nitafurahi.

Je ukiwa unacome huwa unafanya nini? Unapiga kelele, unamvuta nywele mwenzi wako, unakunja sura (nikiimagine sura yako ikikunjwa) au unakenua!
 
Niliwaambia mie, PAW wangu nampenda his wish is my command. Ngoja nile kungu nianze kumuibia basi,lol
King'asti umeona Paw alichomfanya babu Asprin baada ya kukukabidhi kwangu?
Alivyo na wivu hajanitwanga mimi ban ila kamtwanga babu...!
lol Ila sikuachi hata akinipa ban na mimi...
Muombee msamaha basi
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa bize namoderate meseji za maswali ya wana JFUlitupiwa maswali mengi sana na yasiyofaa kuweka hadharani, labda tu jukwaala wakubwa hivyo nilikuwa bize nikiyachuja ili kipindi cha talk showkisije kikapigwa BAN na Invisible
Mbona kauli yako ni kinyume na yalotokea?Babu kapigwa ban...ujue inaniuma sana.. Kaizer na Bishanga nawaomba huku mara moja tuongee kuhusu mkubwa wetu Asprin atakavyorudi..na nani kamsababishia ban!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom