Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Haya maneno ni kujikosha na kumpa kichwa nanii...
hebu uliza wenzako walowahi kupita anga zetu watakuambia Bishanga na Erick wakoje
Huoni The secretary kalainika mwenyewe kwa Bishanga?

wewe huna lolote hata Amyer kakukimbia wafanya mchezo wewe? huyu Bishanga ndo kabisa manake si uliona msuto wake wote aliojidai kuwahonga walimsuta pasi kujali vijisenti vyake.
 
Last edited by a moderator:
1. Mie nahongwa, sijui kuhonga.
2. Ubia wangu na Fyatanga uko kwenye ajira. Mie ndio afisa mwajiri wa mabaamedi wa pale. Intavyuu nafanyia gesti.
3. JF nshalamba mabinti sita. Kama wako huru niwataje waniPM
4.Ukinipa namba ya Kongosho, wallahi ntakuzawadia mmoja wa wajukuu zangu charminglady atakufaa?

black+pop.jpg

afu babu hii picha ulpata wapi, kumbe we ndo uliiibia nkadhani nilivoachana na nanilii aliichukuwa kumbe we ndo ulipita nayo..... babu duh nimekunyooshe amiguu
 
babu @Aspirin me cmrtaki Bishanga, namtaka naniliu yan kila siku nimekuwa nikijipisha pitisha lakini anajidai hanioni mpka nimeamua kuokoka na kumfungia maombi lakini hola... ila mchungaji kanambia kuwa mambo yanaiva..... na ikishindikana namwendea bagamoyo lol ananiumiza moyo yan hata saiv napost but nipo church mchungaji anawaombea wengine... nakesha kweli ili nimpate!!!!!!

Anaitwaje.... Sema fasta nifanye mtambiko.
 
Last edited by a moderator:
afu babu hii picha ulpata wapi, kumbe we ndo uliiibia nkadhani nilivoachana na nanilii aliichukuwa kumbe we ndo ulipita nayo..... babu duh nimekunyooshe amiguu

We ni mjukuu mwema. Wengine wananinyooshea mikono we umeamua kunipanulia, sore, kuninyooshea miguu. I will marry u babe... Will you?
 
wewe huna lolote hata Amyer kakukimbia wafanya mchezo wewe? huyu Bishanga ndo kabisa manake si uliona msuto wake wote aliojidai kuwahonga walimsuta pasi kujali vijisenti vyake.
Amyner hajakimbia ila kapumzika JF coz anaona mnampa pressure tu kunimendea...kasema bora asijue km anaibiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom