Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, Jun 30, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mzee ODM Asprin

  Ni matumanini yangu ndugu zangu wapendwa wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kutafuta fedha kama kawaida.

  Leo hii nipo na Babu yetu kipenzi ambaye pamoja na umri kusonga mbele lakini bado anaendela kunyemelea vibinti humu JF kimya kimya, naye si mwingine niiiiii ODM Babu Asprin..........
  Wote semeni Yeeeeeeeah!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Swadakta kabisa, haya ndugu zanguni leo sina maneno mengi bali namkaribisha sana Babu Asprin na maswali yangu yatasawiri zaidi kwenye maisha yake binafsi na kazi zake za mapema.

  Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Mzee Asprin swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

  Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Mzee Asprin:

  1. Je ulizaliwa msimu gani, wa kipupwe au kiangazi?
  2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
  3. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi?
  4. Je umeshawahi kupiga puchu ujanani?
  5. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?6. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
  7. Je umeshawahi kufumaniwa na mke wa mtu?
  8. Je umeshawahi kumpa mimba mwanamke na ukakata kumuoa?
  9. Je una watoto wangapi wa nje ya ndoa?
  10. Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?
  11. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
  12. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana
  13. Ukipata fursa ya kupata staftahi na mimi hapa Zinduna, ungependa tumsengenye nani?
  14. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

  15. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….

  Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Mzee wetu ODM Asprin atakuja kuyajibu maswali yenu.

  Karibuni sana
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ahsante ndugu maulid kitenge....ooops ndugu zinduna kwa kunipa fursa hii.
  Vijiswali kwa ndugu asprin:
  1. Ushawahi kuhonga mwanamke gari au nyumba au na wewe ni wale wale asiowataka Smile?
  2. Una ubia na bar ya fyatanga?
  3.humu jf ushawahi kulamba dem kiukweliukweli na si masikhara ya jf?
  4.nikikupa namba ya simu ya Kongosho utanilipa nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Ili kuonyesha nilivyo muadilifu, naitikia wito wako wa salamu...

  Yeeeeeeeah!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Niko Gado kujibu maswali yenu yote kwa ufasaha......
  [​IMG]


  Ila Zinduna nakusihi kwenye haya mahojiano naomba ukae mkao wa heshima nisijeleta matatizo hapa studio.

  [​IMG]
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Asprin bana,kumbe na wewe unafahamiana na zinduna,hii picha ni ya zamani kidogo lakini,siku hizi kazeeka choka mbaya,unamfahamu bi kidude? Well well she almost looks like her.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  1. Je Msimu gani, wa kipupwe au kiangazi?
  Swali halijaeleweka, waweza sema ulimaanisha nini?
  2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
  Sana tu, tena mi ndo nlikuwa nashika nafasi ya ubaba. Housegirl wetu alikuwa ananikomaje?
  [​IMG]
  3. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi?
  Nina mke na mabinti wawili wazuri kama mama yao. Hawa lazima waolewe na watu wenye hela zao na ni lazima wawe mahandsome. Vinginevyo ntawaoa mwenyewe

  4. Je umeshawahi kupiga puchu ujanani?
  Hili si swali, mpaka sasa kina cacico, Yummy na BADILI TABIA wakinipiga kibuti, lazima nirudishe heshima kwa Revola. Uzuri wa sabuni, haijui kupiga mzinga, haina wivu na haihitaji kutumia kondom kwakuwa haina gono, kaswende wala ngoma.

  5. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
  Jana tu nlikuwa mitaa ya Ohio.
  [​IMG]


  6. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
  Sana tu. Kahaba hakupi mzigo bila kutoa fedha wakati home napewa bure. Utafiti umeonyesha kuwa penzi linalohusishwa na feza linakuwa tamu mara mbili ya penzi la bure. Nshaongea na wife ili niachane na makahaba basi awe ananipiga mzinga kabla hajapanua paja.
  7. Je umeshawahi kufumaniwa na mke wa mtu?
  Mara tatu, mara ya mwisho sikujua kama cacico ni mke wa mtu.
  [​IMG]

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Eti ni kweli kuwa baada ya kuwakagua wajukuu zako huwa unawaachia gungu wasiolewe ili uendelee kufaidi wewe tu? Lol
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  unamzidi lulu miaka mingapi?sasa uliwezaje kumvua chupi na ikasimama?
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  8. Je umeshawahi kumpa mimba mwanamke na ukakata kumuoa?
  Yeah Erotica nlijua ana mimba yangu, mpaka alipokana hadharani kuwa si yangu akamuuzia Kaizer. Kaizer alipomtolea nje akarudi kwangu akidai mimba ni yangu na mtoto aliye tumboni anafanana na mimi mpaka kucha.

  [​IMG]

  9. Je una watoto wangapi wa nje ya ndoa?
  Sina asee, nlimwomba gfsonwin anizalie akakataa. Unaweza kunisaidia niwekamo katoto kwa tumbo lako?

  10.Je umetahiriwa, kama umetahiriwa, ulitahiriwa ukiwa na umri gani, na je ulitahiriwa kwa ganzi au kavu kavu kama wamasai?
  Mkono sweta wangu ulitolewa zamaaani sana. Sina kumbukumbu kwakuwa wakati wanautoa nlikuwa bado nna akili kama za Lusinde
  11. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
  Nlipomgonga jamaa maeneo ya Victoria akapaa hewani na kurudi juu ya paa la kibajaji changu.

  12. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana

  Nilipogundua jamaa nliyemgonga hajaRIP. Naogopa sana kumsaidia ziraili mtoa roho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  13. Ukipata fursa ya kupata staftahi na mimi hapa Zinduna, ungependa tumsengenye nani?
  Huyu Erickb52 bana, ana mchezo mbaya wa kuwamendea wajukuu zangu.

  [​IMG]

  14. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
  Kumshabikia Rais wetu alipoteuliwa na chama cha Magamba kwa mara ya kwanza kugombea urais.
  Kiongozi wangu huyu ni bone la msomi.

  [​IMG]

  15. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….
  Kidumu na kiwe kigumu kama chama cha magamba..... Naomba kupumzika kidogo hangover inaniua

  [​IMG]
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Tatizo wananogewa na kunitishia, ndo maana nawaachiaga laana.

  [​IMG]


  Ng'ombe hazeeki maini..... kama vipi nawe hebu njoo ujaribu bahati yako.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  1. Mie nahongwa, sijui kuhonga.
  2. Ubia wangu na Fyatanga uko kwenye ajira. Mie ndio afisa mwajiri wa mabaamedi wa pale. Intavyuu nafanyia gesti.
  3. JF nshalamba mabinti sita. Kama wako huru niwataje waniPM
  4.Ukinipa namba ya Kongosho, wallahi ntakuzawadia mmoja wa wajukuu zangu charminglady atakufaa?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Asprin unatisha kama nini. la kizushi je umewahi ok nimesahau nitakuja.
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ulishawai kubaka???
  kugombania mwanamke in ur life?
  ni kitu gani uliwai kufanya na kuokoa life ya mtu au watu...ambacho kinakufanya ujisikie fahari sana ukikumbuka?
  any regrets in ur life??? and why??
  unapendelea nini(hobbies)
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Swali rahisi sana, ndiyo nimeshawahi kuvaa kata K na kuimba bongofleva.

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 15. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asprin we na Zinduna mboni mnajaribiana kwa mikao yenu hiyo intavyuu ihamie gest house.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Enzi za utoto nlishawahi kubaka mbuzi na kuku....
  Kitu cha kuokoa maisha? Oh Yes nlipomuoa mai waifu manake alinambia hawezi kuishi bila ya mimi. Inamaana nisingemuoa angekuwa ameshaRIP.
  Regrets? Moja tu...my ex gelofrend wangu alipopata ujauzito nikamshauri akaitoe..... Maskini kizazi kikaharibika mpaka leo mtoto anamsikia kwenye bomba. Sijui kama mme wake ameambiwa hiyo habari au anapampu tu akitegemea atapata mtoto siku moja......
  Hobbies?? Hivi uzee una hobby? Penda sana angalia sinema mimi, soma novels, Cheza basketball na volleyball. Ofkozi na kupiga ulabu mwiiiiiingi!!

  Haya ukiwaona kina TANMO na platozoom waambie maswali yao ya uchokozi siyataki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nina maswali machache kwa ODM:

  1. Je ulishawahi kuvuta Bhange?
  2. Je ukipewa nafasi ya kutoa maamuzi, utahalalisha Bhange?
  3. Je ulishwahi kupiga puli?
  4. Je mitungi uliianza ukiwa na umri gani?
  5. Je ulishawahi kukalala katoto anda eji?

  ..................nitarejea
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Unapokagua wajukuu huwa unawakagua nini?vigezo vyako nini kwenye ukaguzi wako?na huwa unajisikiaje unapowakagua?ushauri gani huwa unawapa baada ya kuwakagua?huwa unatoa muhuri baada ya kuwakagua?
   
 19. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asprin sina maswali umenitoa machozi kwa majibu na vithibitisho vyako vya picha khaaa!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Asprin anatisha hata ZINDUNA katimua.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...