sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
teh teh teh. mie sio mchoyo mwenzato. simwachi mtu na njaa.
Nakuaminia my mke mweee !.....hata hivyo kunyimana ni dhambi!
teh teh teh. mie sio mchoyo mwenzato. simwachi mtu na njaa.
Taratibu mamito,watoto wako macho.
Btw kaswali ka nyongeza bi erotica:
Katika imaginations zako bishanga ni mtu wa namna gani? Yukoje kiwajihi,tabia,mwenendo?
Yananihuu sana maana ushem haufi,lakini najinyamazia tu niugulie ndani......
We mjukuu wa sh yahya?naona kama li Bishanga ni libaba fulani la makamo. limefika umri ambao limeshakata tamaa
ya kuwa na pesa ndio linakuja kutubabaisha babaisha hapa chichat. linajali wanawake ila livivu kudo
ili mradi limeonekana na mwanamke mzuri baaasiii. ni limtu la watu.
usinimeze umeniuliza mwenyewe. mwaaaaaaaaah.:A S-rose:
weraweraaaaaaaaaaaaaaaa!........... ngoma inogile iyooooooooooooo! .................. wangaaaa wajinyonge!!!!!!!! siye kama kawaida leo twamfunda mali mdogo Erotica kikoa. niitie na waliobakia mchana ndio huu jamani lolz.
naona kama li Bishanga ni libaba fulani la makamo. limefika umri ambao limeshakata tamaa
ya kuwa na pesa ndio linakuja kutubabaisha babaisha hapa chichat. linajali wanawake ila livivu kudo
ili mradi limeonekana na mwanamke mzuri baaasiii. ni limtu la watu.
usinimeze umeniuliza mwenyewe. mwaaaaaaaaah.:A S-rose:
wakati wa kumfunda gfsonwin kwanini tusiandae jiko la mkaa dogo, atuonyeshe pia stamina ya kiuno akiwa juu, afungwe na mtandio tuulowanishe maji atuonyeshe mwendo halisi wa binti wa kibantu anavyotakiwa kutembea akiwa chumbani na mumewe, sio tena kutwa anashinda na sketi za jeans na kutembea ka askari ambaye mkewe kakutwa na simbachawene! lolweraweraaaaaaaaaaaaaaaa!........... ngoma inogile iyooooooooooooo! .................. wangaaaa wajinyonge!!!!!!!! siye kama kawaida leo twamfunda mali mdogo Erotica kikoa. niitie na waliobakia mchana ndio huu jamani lolz.
wakati wa kumfunda gfsonwin kwanini tusiandae jiko la mkaa dogo, atuonyeshe pia stamina ya kiuno akiwa juu, afungwe na mtandio tuulowanishe maji atuonyeshe mwendo halisi wa binti wa kibantu anavyotakiwa kutembea akiwa chumbani na mumewe, sio tena kutwa anashinda na sketi za jeans na kutembea ka askari ambaye mkewe kakutwa na simbachawene! lol
hubby za mida hii? ulilionaje game la leo mchana?? lolest! nimekwenda ka mama bashiri kutafuta majani ya nafsa nije kukukandia kiuno, nikitoka straight kwenye kumfunda erotica! tunataka twins wakizaliwa baba yao awe keshakimbukwa au apatiakane mume humuhumu wa kumhudumia na kumuoa, wanawake tukiungana hakuna linaloshindikana! mwahhhhh bby wangu!
wakati wa kumfunda gfsonwin kwanini tusiandae jiko la mkaa dogo, atuonyeshe pia stamina ya kiuno akiwa juu, afungwe na mtandio tuulowanishe maji atuonyeshe mwendo halisi wa binti wa kibantu anavyotakiwa kutembea akiwa chumbani na mumewe, sio tena kutwa anashinda na sketi za jeans na kutembea ka askari ambaye mkewe kakutwa na simbachawene! lol
mama kadogoo upo?? mwahhh! nimekumisije?? nimekwenda kanisani, dose ya uhakika kwa YM tayari, watoto wamelala nipo jei efu tunapeana maujuzi! nitamfuata kadogoo weekend ijayo at least we go out na yeye, asinisahau bure mama wa ubatizo, lolest! haya maujuzi yatatusaidia wote, kingine we hukijui mi nakijua! pengine we waeza ingiza key holder na key vyote kwa pamoja! mwingine akamudu key tu, yote ni katika kujifunza! we ungekuja na udi kabla ya shughuli tuufukize kuondoa husda na majini ya usingizi shughlini!
gfsonwin na hali aliyonayo Erotica ataweza kuokota mizungu???? ...au tutamsaidia na cacico!hayo yote yamo manake nilisha mwambia Zinduna aandae jiko la mkaa na miye nakuja na sindano leo na kibao cha nazi atuonyeshe vizuri nazi ya mume inavyokunwa hasa wakati huu wa mimba. pia sitosahau udi na ubani na chetezo kwa ajili ya manukato. tena kama bahati jana shostito wangu sweetlady kaniletea kutoka mombasa unanukiaje? leo ndio kazi. Mwanamke hawez kuwa na mimba halafu tusimfunde kikoa lol!
gfsonwin my kungwi, mwenye macho aambiwi tazama.