Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

hayo yote yamo manake nilisha mwambia Zinduna aandae jiko la mkaa na miye nakuja na sindano leo na kibao cha nazi atuonyeshe vizuri nazi ya mume inavyokunwa hasa wakati huu wa mimba. pia sitosahau udi na ubani na chetezo kwa ajili ya manukato. tena kama bahati jana shostito wangu sweetlady kaniletea kutoka mombasa unanukiaje? leo ndio kazi. Mwanamke hawez kuwa na mimba halafu tusimfunde kikoa lol!
kwani mimba ugonjwa? tena huu ndio wakati wa yeye kufanya njia itanuke watoto wazaliwe vizuri, na inavyokuwaga inavuta katika hali hiyo ni full raha, heheheiya Erotica ushindwe mwenyewe kula tunda! kula chachu kama tamu yakuchefua na mimba! twaja bibi we jiandae!
 
Last edited by a moderator:
mama kadogoo upo?? mwahhh! nimekumisije?? nimekwenda kanisani, dose ya uhakika kwa YM tayari, watoto wamelala nipo jei efu tunapeana maujuzi! nitamfuata kadogoo weekend ijayo at least we go out na yeye, asinisahau bure mama wa ubatizo, lolest! haya maujuzi yatatusaidia wote, kingine we hukijui mi nakijua! pengine we waeza ingiza key holder na key vyote kwa pamoja! mwingine akamudu key tu, yote ni katika kujifunza! we ungekuja na udi kabla ya shughuli tuufukize kuondoa husda na majini ya usingizi shughlini!

Nipo mpendwa cacico......niende wapi wakati mie jf ndo nshatia nanga?.....udi nishampa gfsonwin anakuja nao.....mie ntachelewa kidogo manake nimeagizwa kununua miwa.......si unajua na yenyewe shurti iwepo katika mafunzo?....mwanamke lazima ajue namna ya kula muwa na mahali gani panafaa kwaajili hiyo.....sio kati kati ya barabara mwanamke unakazana kutafuna muwa lolest!
Kuhusu kadogoo wala usitie shaka vile ni mwanao mpendwa mie nakuruhusu uende nae popote jioni umrudishe!
 
Last edited by a moderator:
hivi huamini sweetlady au unakataa? leo ule udi na ubani wa mombasa ndio naenda kumfundia Erotica manake asije akanuka pombo akasingizia mimba bure. wewe nilikuagiza ulete nini vile? angalia kwenye list mapema uwahi.

Uliniagiza miwa na mswaki gfsonwin .....nshavipata ndio niko njiani naja eneo la tukio
 
Last edited by a moderator:
Nipo mpendwa cacico......niende wapi wakati mie jf ndo nshatia nanga?.....udi nishampa gfsonwin anakuja nao.....mie ntachelewa kidogo manake nimeagizwa kununua miwa.......si unajua na yenyewe shurti iwepo katika mafunzo?....mwanamke lazima ajue namna ya kula muwa na mahali gani panafaa kwaajili hiyo.....sio kati kati ya barabara mwanamke unakazana kutafuna muwa lolest!
Kuhusu kadogoo wala usitie shaka vile ni mwanao mpendwa mie nakuruhusu uende nae popote jioni umrudishe!
hahahahah sweetlady mbavu zangu kha! eti kula muwa barabarani, kwakweli haiswii kha! kha usichelewe basi, twakungoja lolest,
 
Last edited by a moderator:
wishes zenu ndio haswa commands zangu mie! neneni mtumishi wenu nitafanya! hii ni kwa Erotica mwahhhh! lazma kieleweke, shosti shaka weka kusini, kaskazini tuachie wenyewe tukuweke sawa!

cacico mie nakula matunda, tena ya kila aina. usiwore.

na crew yote hio akiwemo mwenzato sweetlady, kungwito gfsonwin

na shostito wewe sina shaka hata chembe. :grouphug: mwaaaaaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
cacico mie nakula matunda, tena ya kila aina. usiwore.

na crew yote hio akiwemo mwenzato sweetlady, kungwito gfsonwin

na shostito wewe sina shaka hata chembe. :grouphug: mwaaaaaaaaaah.
Erotica mimi nakuaminia, matatizo ni madogodogo tu ya kurekebisha, kama garage ni cfao hakuna bolt au nati itakayooshindikana kufix! mi nakutakia uelewa mwema kabisa mafunzo yatakapoanza! tena gfsonwin tusisahau kuanza kwa sala itasaidia kuyaweka mapepo maharibifu mbali na shughuli yetu ikaenda sawa! lolest!
 
Last edited by a moderator:
bado changa hiyo inamudu kabisa, yaani hapa hatumuonei huruma ila ataambiwa ni hadi muda gani. cacico atamsaidia baadhi ya maeneo
tena we msiri wangu wa moyoni, hakuna patakapoharibika! najitolea kwa moyo wote bila kubana, kuziba viraka vyote, ilimradi ndoa yetu iwe imara ka nondo za madirisha! lolest!
 
Erotica mimi nakuaminia, matatizo ni madogodogo tu ya kurekebisha, kama garage ni cfao hakuna bolt au nati itakayooshindikana kufix! mi nakutakia uelewa mwema kabisa mafunzo yatakapoanza! tena gfsonwin tusisahau kuanza kwa sala itasaidia kuyaweka mapepo maharibifu mbali na shughuli yetu ikaenda sawa! lolest!

cacico umeanza kutaja mambo ya sala....... ngoja nikapumzike kidogo.

watoto wananichosha hawa wajameni! mwaaaaaaah kweny wote nyie my lovito.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha usicheke cacico mwanamke aliyefundwa na kungwi kama gfsonwin shurti alijue hilo lol.
worrrrrrrrrrrrrrrrddddddddddddddd! mie hata za ndani sifai, zitapunguza ufanisi wangu kwenye kufunda! nipo dera langu tepetepe tu, naja! uji wa kungu gfsonwin nani analeta, sio tena bi harusi wetu atutolee jicho ka tochi ya mgambo ebo! shurti lisinzie!
 
Last edited by a moderator:
tena we msiri wangu wa moyoni, hakuna patakapoharibika! najitolea kwa moyo wote bila kubana, kuziba viraka vyote, ilimradi ndoa yetu iwe imara ka nondo za madirisha! lolest!

nakuaminia sana shostito msiri wangu wa moyoni cacico leo ndio leo.
 
Last edited by a moderator:
worrrrrrrrrrrrrrrrddddddddddddddd! mie hata za ndani sifai, zitapunguza ufanisi wangu kwenye kufunda! nipo dera langu tepetepe tu, naja! uji wa kungu gfsonwin nani analeta, sio tena bi harusi wetu atutolee jicho ka tochi ya mgambo ebo! shurti lisinzie!

Uji alisema gfsonwin atautengeneza mwenyewe.......sie twaweza zidisha kungu afu ikawa balaa kwa biharusi wetu!
 
Last edited by a moderator:
worrrrrrrrrrrrrrrrddddddddddddddd! mie hata za ndani sifai, zitapunguza ufanisi wangu kwenye kufunda! nipo dera langu tepetepe tu, naja! uji wa kungu gfsonwin nani analeta, sio tena bi harusi wetu atutolee jicho ka tochi ya mgambo ebo! shurti lisinzie!

halafu mnajua bado hatujamletea kunu huyu bibie? nafikiri cacico na seetlady tufanye mchakato tupate kungu manake leo ni full dose. watatujuaje jamani!!!!!!!!!!!! Erotica leo lazima akitoka apate mbadala hapa jf atakaye nunua na hiyo mimba na kila kitu. chezeya gwiji la jiji weye...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom