Nimeshindwa nimjibu nani nim quote nani.... mimba kazi wajameni,
bila hawa wapenzi wangu wakiongozwa na my love
Kaunga, wanaonipenda
kwa dhati sijui Ero ningemlilia nani mimi na hili tumbo la mapacha.
makungwito
cacico,
gfsonwin pamoja na mwenzato
sweetlady lile somo la jana
nimelipata vyema.
Kaunga my love kanikariirisha hadi niliyosahau.
my sweet babu
Asprini nafurahi kuwa
Mike McKee katukubalia wote tuweze
fanya hio kazi kwa pamoja thou mimi nipo bega kwa bega na
Paxman,
Kaunga
na
Ndahani.
FirstLady1 nakuaminia mamito. me love you veri veri hata
huyo
Yummy pia nampenda hadi kumoyo.
bibi
Mamndenyi hii chiken party nimepewa, akina bb wengine wakisikia watazimia. teh teh teh.
Kongosho nilikumiso, come this way na usimsikilize kabisa
Young_Master.
mwaaaaah kwa niliowamiss. mwaaaaaaah kwa makungwito. mwaaaaaah mashostito.
mwaaaaah kwa mapapito. no mwaaaaaaah kwa
Young_Master na
Erickb52