Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
Hujasema anauza nini maana naona kama pungi pungi na kidogo naona kama ndo dagaa
Hiyo itakua mboga
Huyu jamaa inaonekana sio mboga tu, hata asubuhi anachemsha kama chai.
í-½í¸³í-½í¸³í-½í¸³í-½í¸³duuu huyu jamaa mie nlizani anatembeza mchicha...
Hahaha na nyengine anaoga pia lol
Long live jah people never die...!!!