upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,526
Hahahahahaaaaa,hayuko,peke,yake,huyo,kichomiz....!!!
Na kwa huu je?
Hahahahahaaaaa,hayuko,peke,yake,huyo,kichomiz....!!!
Labda senene.
Anauza Bob Marley Cigarette, dagaa wanakuwaga na rangi ya kijani?
Bangi haina umri.
Bangi haina umri.
Na kabila dini wala rangi...!!!
Ila amani na upendo rasta!
dunia bado haijaelewa madhara halisi ya kuhararisha baghi.. ngoja tusubiri miaka mitano mbele idadi ya vijana vichaa itakavyoongezeka mitaani.
Yaaninaonamawengetusielewihatamlichoandikahapanaaikiaharufuhadinimelewahiipostisibureimefukizwa
Wanaongezekatukovaakijahukuatawapatawengikweli
Tatizo mimoshi na chawa.. Marasta wengi nywele zao ni lice incubators company limited
Never die ??
Salamander nimemnukuu tu Luck Dube RIP, marasta wetu wa kibongo/kiafrika wengi wachafu na kwakweli vichwa vyao ni magenge ya chawa nina mifano hai kabisaMshana jr kwa hilo you are wrong! Nakataa kabisa kuwa dreadlocks zina uhusiano na chawa. Chawa wanasababishwa na mazingira na uchafu. Halafu kitu kingine, ukae ukijua chawa wanaishi kwa kula damu, kitu ambacho hawawezi kukipata wakikaa kwenye dreadlocks. Kwa kupata damu, inabidi wakae karibu na ngozi, na ndio hapo ujue mtu mwenye nywele fupi anaweza kuishi na chawa kirahisi kuliko rasta.
Salamander nimemnukuu tu Luck Dube RIP, marasta wetu wa kibongo/kiafrika wengi wachafu na kwakweli vichwa vyao ni magenge ya chawa nina mifano hai kabisa
Ulinukuu vibaya kama watu wengi wanavyonukuu mpaka kesho. Lucky Dube alikuwa anawataka makaka wawe wasafi kwenye mioyo yao, hakumaanisha kwamba walikuwa hawajafua nguo zao. Alikua anaongelea usafi wa moyo, sema waandishi wa kibongo walivyo vilaza kesho yake asubuhi magazeti yakaandika Lucky Dube kasema marasta wa kibongo wachafu. Waandishi wa habari Tanzania wengi wendawazimu.
Bado ukweli unabaki palepale marasta wengi ni wachafu mno, hili halina ubishi Salamander, kutunza dreads kwa kiwango chake ni gharama kubwa sana hasa kwenye shampoo na mafuta, wengi hawana uwezo wa kununua japo shampoo ya sh elfu 5000 na mafuta ya elfu tatu ambavyo havimalizi wiki, wengi wao wananuka, kwenye mishemishe zangu mitaani nakutana nao sana tu
I don't know Mshana, lakini Bongo mi nilikaa na watu wa Jamii ya marasta wengi tu, tena kwa pamoja, lakini sijui kama wananuka, kwangu walikuwa poa tu. Swala la usafi ni la mtu binafsi, kwani wapo wanaovaa tai shingoni lakini bado wana harufu ya kwapa au mdomo.
Natural dreadlocks hazihitaji gharama kubwa kama wengi wanavyofikiria kwani kuna njia nyingi mbadala za kuzisafisha kama hakuna hizo shampoo za Elfu hamsini. Na unaweza kutumia mafuta ya bei poa kama ya nazi, zikawa bomba tu.