zinahitajika hekali 1000

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,502
7,827
habari ZENYU wana JF. kuna muwekezaji mmoja kutoka india anahitaji eneo lenye ukubwa wa hekari 1000, isiwe umbali wa zaidi ya 150km kutoka city centre dsm.
 

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
538
Zumbukuku kweli.sometime inaudhi mtu anapopima joto ktk mambo makini kama haya. ktk siasa ndio kuna kupimajoto kwa hivi.Akirudi lazima aje na Maelezo mazuri else Che itabiidi umpe FAINI :(
 

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,502
7,827
Zumbukuku kweli.sometime inaudhi mtu anapopima joto ktk mambo makini kama haya. ktk siasa ndio kuna kupimajoto kwa hivi.Akirudi lazima aje na Maelezo mazuri else Che itabiidi umpe FAINI :(

sorry wadau, ni kwamba issue ilikuwa hot kiukweli, ila wkt naleta hii post ilikuwa tayari kuna na wadau wengine walishaelezwa, bahati mbaya nilipotoa post kabla sijarudi kuona watu walicho post dili likawa limeshavunda hivyo na mimi nikasahau kabisa kuurudia uzi wangu, ni hivi leo tu ndo nimefungua profile yangu nikashtuka kumbe nilianzisha huu uzi, naombeni radhi kwa usumbufu mlioupata. kweli mimi zumbukuku, teh teh teh! mnisamehe wadau.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom