Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K
Msosi 20K
Nauli 5K
Asante kwa kuja 30K
Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo.
Kwanini usioe tu ukawa unaichapa utakavyoo adi uichoke.
NB: usiendekeze sketi sana.
Unatoa ela unapewa mbususu una akili timamu yaani hela ulioipata kwa shida kwa siku nzima unaipoteza just for 5minutes really?